Pole sana SL kwa yaliyokukuta lakini miaka mitatu ya kilio na kusaga meno kusema ukweli thats too much hasa ukizingatia kuwa mwenzio anakula nchi na huyo aliyesababisha uumie. Ya nini bana binadamu aliyezaliwa na mwanamke kama wewe akutese kiasi hicho.Jitahidi tu nafasi ikitokea jenga imani na mtu mwingine na kisha usonge mbele.
Nimeumizwa mara 1! Sijasahau mpaka leo huu mwaka wa 3. Nikikumbuka naanza kulia upya kama vile ndo tukio la jana yake. Nimejitahidi kusahau nimeshindwa!
Njoo kwangu trust me utasahau kila kitu lolNimeumizwa mara 1! Sijasahau mpaka leo huu mwaka wa 3. Nikikumbuka naanza kulia upya kama vile ndo tukio la jana yake. Nimejitahidi kusahau nimeshindwa!
Labda mimi tu.Nashukuru kwa ushauri Bishanga, huwezi amini huwa natamani hii hali iondoke kwangu ila imeshindikana, iliniathiri kwa kiwango kikubwa sana ndugu yangu, siku nilipogundua huo usaliti Faham zilinipotea kama dk 15, baada ya kuzinduka vikabaki vilio na majuto ya kumwamini mwanadamu kama mimi. Ila nilichojifunza mpaka sasa ni kwamba sintokaa nimwamini mwanaume yeyote mpaka siku naingia kaburini. Nilipatwa na mkasa wa karne ya sayansi na teknolojia! Sijui kama kuna siku ntasahau kabisa.
Wewe ndio utaishia kuumizwa...Tafakari....Chukua Hatua.....Sijaumiza wala kuumizwa ila nataraji kumuumiza mtu. Lol!
Wewe ndio utaishia kuumizwa...Tafakari....Chukua Hatua.....
Tf unavyosema niku 'Trust' ndo najisikia kulia kabisaaaa!Njoo kwangu trust me utasahau kila kitu lol
hii kitu ni noma, tunaumizwa moyo na hatuachi kupenda tena.
Husni tema mate chini! Mshukuru mungu na Usiombe yakukute, utahisi umetengwa na dunia nzima!Sijaumiza wala kuumizwa ila nataraji kumuumiza mtu. Lol!
Aksante sana mpendwa!Pole sana dada, saa zingine ukiwaza sana unaweza kuanza kuua jinsia husika..
Husni tema mate chini! Mshukuru mungu na Usiombe yakukute, utahisi umetengwa na dunia nzima!
Trust me banaa "Siku Hazigandi"Tf unavyosema niku 'Trust' ndo najisikia kulia kabisaaaa!
Njoo uchukue shule kwangunataka kujifunza. Lol!
Thanx mwaya! Mimi mwenyewe najishangaa kwa nini mpaka leo sijakufa.yaani wewe, nahisi nitakufa kabla ya siku zangu. Lol!
Pole sweetlady.
Hii kauli yako ifikilie mara mbili mbili
Ndugu yangu BAK utatofautishaje mapenzi ya 'kweli' na 'yaliyojaa usanii'?
Njoo kwangu trust me utasahau kila kitu lol