Umesoma Chuo Kikuu Wapi?


Punguza makasiriko bro
Stress za maisha zinakusumbua
 
Mimi ni me, hutafaidi. Watafute wake zetu au nikueleze mke wangu kuwa alisoma ashira Girls cc cariha
Nimemkumbuka ex wangu alisoma Ashira na tulikuwa tunakutana hospitali akijifanya kuumwa. Tulikutana akiwa mpokea wageni tukiwa na event nilivamia sijui ya club gani.
She is cute af
 
Nimemkumbuka ex wangu alisoma Ashira na tulikuwa tunakutana hospitali akijifanya kuumwa. Tulikutana akiwa mpokea wageni tukiwa na event nilivamia sijui ya club gani.
She is cute af

ebu picha yake tumuone
 
Tuambie Chuo ulichosoma huenda ukakutana na classmate wako ambaye ukutarajia kukutana nae
Mkabadilishana number na kupeana michongo ya maisha
Hii itakuwa njia moja ya kukutana na classmate wako


Je umesoma chuo gani? Na mwaka gan umemaliza ?
Wewe je?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Bachelor nimesoma University of Birmingham

Masters nimesoma Denver university

PhD nimesoma University of Dar es Salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…