Huyo ni marioooo sio tapeliPole sana Faith kisa chako kinafanana na changu kabisa kasoro mimi sikwenda Mwanza, wala kumpa kiasi kikubwa hivyo cha fedha ili nilikwenda kwake nikapika na kupakua but ndio hivyo ni TAPELI au ni Mario, all in all ndio maisha twapitia
Weee wadada sisi tunapendaga mwanaume awe romantic mmmmmh Mwenzio nilikua naamshwa na sms taaaaamu asbh naachaje kudataDuh!! Fey na wewe ulijiachia sana yaani kamkopo kanachotosha kununua Pagare unamuachia boyfrend bila hata kumwambia muende wote kwa muuzaji?
Ila dushele linachanganyaga sana wadada hasa likimkolea
Pole sana Faith kisa chako kinafanana na changu kabisa kasoro mimi sikwenda Mwanza, wala kumpa kiasi kikubwa hivyo cha fedha ili nilikwenda kwake nikapika na kupakua but ndio hivyo ni TAPELI au ni Mario, all in all ndio maisha twapitia
😂😂😂kilichonotokea ni kwamba zile pesa zako na mimi nilitapeliwa..ha ha
Pole katotoNilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyajui vizur mapenzi wwHivyo ndio inaitwa kuaminiana au ni kaujinga huwa kamejificha!!!
Mpenzi tuuu nikukabidhi pesa yangu ya mkopo eti ukalipie sijui nini changu
Njoo kwanguNilitapeliwa tu penzi basi nilikatika usiku mzima baada ya siku mbili kumbe ni tapeli couze nilimtext babe i miss u simu ikaita kupokea wewe nani?
Nikamuuliza wewe nani mimi mkewe kummbana sana nimeoa kweli natunawatoto wawili so nikakaa kimya na nikasepa zangu mazima.
Ila iliniuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ngoja nipite kwa hasira ...erick popote ulipo kenge wewe upatwe na Janga lolote lile .......zile senti zangu ulizokua unanitapeli ili uhonge nimezisamehe ila ile elfu 85 uliyoomba nikukopeshe sitakusamehe mpaka siku ya hesabu kwa mungu baba shwaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh!Huyajui vizur mapenzi ww, muulize mwenzio....why ili mtrust kias hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga weeee hiyo ilikua 2014/2015 hatari fire huyo kijana nilimpenda jamani loooool yaani sipati kusema akatumia udhaifu wangu akaniingiza king weeee ....nasemaje mwanaume yeyote sasa hivi hata akiniambia niazime mia tano simpi ng'o msiniulize hata babako"! Nasema hata yeye hapati
Mama nawe ushatapeliwa!!