Umeshawahi kukutana na chakula usijue wanakulaje?

The hammer

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,381
1,760
Kuna aina nyongi sana za vyakula ambavyo wengine hatujawahi kukutana navyo. Ili kujisitiri na aibu siku ya kukutana navyo tupia picha na maelezo ya kuvitumia.

Hii samaki inaliwaje na hayo majani wakuu.
1481802250157.jpg

Ongezea zako.
 
hakuna chakula kinacholiwa miguuni vyote lazima vipite mdomoni hata kama sijui ntasema hua situmiagi vifaa (vijiko,vijiti)
halafu unatundika kwa mikono
 
Kuna msosi mmoja niliona wameweka kwenye sahani pembeni kote wamezungushia maua na katikati kuna vimaua flani hivi, sasa wewe na hayo maua ungekula, au kwenye picha hapo juu hayo majani utayala maana ni kama mabichi hayo
 
Hayo majani ni baby spinach (mchicha?) mkuu. Ni mambo ya salad salad hayo na huu ndiyo mlo wa mtu anayejali uzito wake (sidhani kama inazidi calories 450 hii). Wanaume wa Dar mpo?

Anyway aina mojawapo ya ulaji wake. Unakata kipande cha salmon kwa uma halafu unaunganishia na huo mchicha. Baadaye unaweza kuongezea na hicho kipande cha nyanya. Iwe jioni halafu unasukumizia na Red wine huku kimuziki laini kinapiga, taa zimekuwa dimmed, vimishumaa scented vinawaka taratibu na kiumbe wa Mungu awe hapo mbele yako mnatazamana. Perfect evening aisee!
 
Ebhanah weeh! Mpaka nimejipeleka kwenye huo ulimwengu. Najishtukia nakula ugali wangu wa Matembele.
 
Hayo matembele usingeyapika, unayapanga vizuri tu unaweka nyanya chache pembeni pembeni na kitunguu chake kilichokatwa kwa ustadi then utajisikia nawe unapiga salad ya hatari
 
Hayo majani ni baby spinach (mchicha?) mkuu. Ni mambo ya salad salad hayo na huu ndiyo mlo wa mtu anayejali uzito wake (sidhani kama inazidi calories 450 hii). Wanaume wa Dar mpo?

Anyway aina mojawapo ya ulaji wake. Unakata kipande cha salmon kwa uma halafu unaunganishia na huo mchicha. Baadaye unaweza kuongezea na hicho kipande cha nyanya. Iwe jioni halafu unasukumizia na Red wine huku kimuziki laini kinapiga, taa zimekuwa dimmed, vimishumaa scented vinawaka taratibu na kiumbe wa Mungu awe hapo mbele yako mnatazamana. Perfect evening aisee!
Hatari...iko poa sana eti
 
Back
Top Bottom