Katika hili jambo kuna kitu muhimu nasema haswa linapokuja swala la kujenga urafiki haswa ule wa kusaidiana, kuna makabila hata uwe na shida gani hawawezi kukusaidia ila wenyewe wanapenda kusaidiwa lakini wao wana roho ngumu na za paka katika kusaidia.Habarini wana-jamiiforum!
Hivi umeshawahi kujutia kumsaidia mtu,awe ndugu,rafiki au jamaa?
Binafsi nakumbuka tangu shule ya msingi nilikua na mshkaji alimizidi miaka ya kutosha tu so ni kama kaka yangu.
Huyu bwana walikua na hali ngumu kiasi kimaisha,mimi kwetu tulikuwa swaaafi sana mzee alikua mzito zito shirika fulani la umma.
Toka kipind hko mshkaj asipopewa chai alku ananambia nampa mia mbili au tatu ale vitafunwa shule,mara nyingi mamaake wa kambo hakuwa anampa msosi so akawa anakuja home tunashea msosi wangu
Kwa vile alikua mbele yangu madarasa mawili alitangulia kumaliza std 7,akanambia anataka kwenda dsm kutafuta maisha coz home hapakaliki na hazijvi na mamaake wa kambo,ikabidi nijiumwishe nkapewa pesa niende hosp tshs 30elf (miaka ya2007 kushuka chini iliku pesa ya kutosha tu)nikampa pia nikaiba simu home nkampa jamaa akaamsha
Akiwa dsm akapat azi kuza duka,mwenye duka alikua ni jamaa yake ckmbuki ila nahs mamaake mdogo,hakuwa anamlipa,pesa ndogondogo za vocha na k,gest alikua ananiomba mimi,miaka 5 mbele mambo yakamshinda akaomba nauli nkampa jamaa akarud Mtwra,
Akastruggle na bodaboda hatimayeakatoboa akanunua bodaboda3 na bajaj moja mambo yakamnyookea.
Mwaka2017 mzee akafuuzwa kazi akafilisiwa kila kitu(nilikua chuo singida)pesa ya kujikimu chuo ikawa shida ada ndo ilishndkana kbsaa(now nina deni 2.2mil vyeti vya taluma wanvyo wao as dhamana)
Maajabu yakaja hapa kila nkimtafuta jamaa namweleza anisaidie buku 5 or 10 nijikimu chuo anatoa sababu elfu!!!!
Iibidi kuuza laptop simu nguo na viatu kadhaa hatimaye nikahitimu 2018 mwazoni.
Kurud Mtwara jamaa kanenepa kitambi juu anag'aa ukwasi
Nakmbuka nilifika town nkaishiwa nauli nkamchek jamaa anihelp buku nipande daladala akasema hana
Kuna siku home hakuna kitu madogo wanalia njaa nkatoka had town nkatafute chochote njaa kali ikanishika nikakaa stendi ya daladala kila nkisma nismame natetemeka vbaya nkamtxt jamaa madhila yaliyonikuta akasema yupo nje ya mji wakat namuona kbsa anakatiza katiza na bajaj ,basi
nkakaa hapo had saa 1 hvi mmama mmoja akauliza nna tatzo gan mbna natoka jasho huyo ndo akaninunulia chakula akanipa na buku 5 nkakimbilia home kuwahisha unga!
iN short jamaa hayupo radhi hta kutoa jero kwa ajili yangu ila kwa wegne jamaa anajitoa sana haswaaa watoto wa kike!
huyu bwana ndo ananifanya nijutie sana kupenda rafiki na kujitoa kwa ajili yake najuta na naumia sana zile pesa saiz ningefungua duka la rejaeja na likajaa kabisa!!!
note:
for anyone mweye nafasi ya kazi iliyo ndani ya uwezo wangu usisite kuniunga nipo tayari kwa kazi yoyote
age:24
Elimu:astashahada ya ualimu ( Grade A)
Habarini wana-jamiiforum!

Mkuu pole sana, vumilia, katika jamii watu wa namna wapo. Japo unajutia msaada ulioutoa ila usikufanye usiwe na moyo tena wa kusaidia, endeleza tabia yako ya kusaidia kadri ya uwezo. Kusaidia sio lazima uwe na mali, msaada hata kwa mawazo chanya juu ya jambo husika.
Jamaa yako ipo siku atakukumbuka ila muda bado haujafika, wanadamu tuna hulka ya kusahau ya nyuma na kusahau waliotusaidia kufika hatua fulani ila tukikwama tunajikuta tunarejea tena kwa wale wale tuliowasahau tena kwa aibu(Muumba wetu atujalie tuepuke hii tabia).
Ukitoa usisubiri Shukrani wala malipo. Mwache wala usisumbuke kumtafuta pambana kivyako vyako utatoboa.Habarini wana-jamiiforum!
Hivi umeshawahi kujutia kumsaidia mtu,awe ndugu,rafiki au jamaa?
Binafsi nakumbuka tangu shule ya msingi nilikua na mshkaji alimizidi miaka ya kutosha tu so ni kama kaka yangu.
Huyu bwana walikua na hali ngumu kiasi kimaisha,mimi kwetu tulikuwa swaaafi sana mzee alikua mzito zito shirika fulani la umma.
Toka kipind hko mshkaj asipopewa chai alku ananambia nampa mia mbili au tatu ale vitafunwa shule,mara nyingi mamaake wa kambo hakuwa anampa msosi so akawa anakuja home tunashea msosi wangu
Kwa vile alikua mbele yangu madarasa mawili alitangulia kumaliza std 7,akanambia anataka kwenda dsm kutafuta maisha coz home hapakaliki na hazijvi na mamaake wa kambo,ikabidi nijiumwishe nkapewa pesa niende hosp tshs 30elf (miaka ya2007 kushuka chini iliku pesa ya kutosha tu)nikampa pia nikaiba simu home nkampa jamaa akaamsha
Akiwa dsm akapat azi kuza duka,mwenye duka alikua ni jamaa yake ckmbuki ila nahs mamaake mdogo,hakuwa anamlipa,pesa ndogondogo za vocha na k,gest alikua ananiomba mimi,miaka 5 mbele mambo yakamshinda akaomba nauli nkampa jamaa akarud Mtwra,
Akastruggle na bodaboda hatimayeakatoboa akanunua bodaboda3 na bajaj moja mambo yakamnyookea.
Mwaka2017 mzee akafuuzwa kazi akafilisiwa kila kitu(nilikua chuo singida)pesa ya kujikimu chuo ikawa shida ada ndo ilishndkana kbsaa(now nina deni 2.2mil vyeti vya taluma wanvyo wao as dhamana)
Maajabu yakaja hapa kila nkimtafuta jamaa namweleza anisaidie buku 5 or 10 nijikimu chuo anatoa sababu elfu!!!!
Iibidi kuuza laptop simu nguo na viatu kadhaa hatimaye nikahitimu 2018 mwazoni.
Kurud Mtwara jamaa kanenepa kitambi juu anag'aa ukwasi
Nakmbuka nilifika town nkaishiwa nauli nkamchek jamaa anihelp buku nipande daladala akasema hana
Kuna siku home hakuna kitu madogo wanalia njaa nkatoka had town nkatafute chochote njaa kali ikanishika nikakaa stendi ya daladala kila nkisma nismame natetemeka vbaya nkamtxt jamaa madhila yaliyonikuta akasema yupo nje ya mji wakat namuona kbsa anakatiza katiza na bajaj ,basi
nkakaa hapo had saa 1 hvi mmama mmoja akauliza nna tatzo gan mbna natoka jasho huyo ndo akaninunulia chakula akanipa na buku 5 nkakimbilia home kuwahisha unga!
iN short jamaa hayupo radhi hta kutoa jero kwa ajili yangu ila kwa wegne jamaa anajitoa sana haswaaa watoto wa kike!
huyu bwana ndo ananifanya nijutie sana kupenda rafiki na kujitoa kwa ajili yake najuta na naumia sana zile pesa saiz ningefungua duka la rejaeja na likajaa kabisa!!!
note:
for anyone mweye nafasi ya kazi iliyo ndani ya uwezo wangu usisite kuniunga nipo tayari kwa kazi yoyote
age:24
Elimu:astashahada ya ualimu ( Grade A)
Pole mkuu.Habarini wana-jamiiforum!

Nimkweli unapomsaidia mtu usitegemee shukrani toka kwake, ila mtu ukipata shida na ukahitaji msaada wazo la kwanza ni kumwomba mtu wako wa karibu huwezi kuanza kuvamia usiowajua wakusaidie labda uwe ombaomba mtaani. Ila mimi wakati nasoma kuna mshikaji alikuwa ananipeleka kukaa kwao ila baadae tukapotezana kwa sasa ni miaka mingi. Ila kuanzia 2015 mambo yalibadilika sana. Akanitafuta akanipata akanieleza kwa kweli naona kama ndugu yangu tu kwa sababu alinisaidia zamani. Hivyo ndugu yangu ukipata shida unaanza na uliyemsaidia kama ana uwezo huwezi kuvamia watu.Unapo msaidia mtu usitegemee shukurani kutoka kwake