Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
- Thread starter
-
- #21
Naomba kujuzwa kama kuhonga na kununua ni vitu tofauti au ni jambo hilo hilo
au ya soda tuDah sasa hiyo 30 si nauli tu jamani
Una roho ngumu Sana aisee!
Dah.... Mpaka mwanamke kufikia kuolewa amepitia mengi mnoYaani hiyo hata nauli haijatosha kabisa.
Niliwahi ku-bet nauli ya kutoka Mtwara hadi Mwanza.
Kiukweli kama asingekuja ningeumia mno.
Lakini mtu alifika vizuri.
Mungu amsaidie huko alikoolewa, maana alikuwa ni mchumba wa mtu kutoka Malawi.
Kweli kabisa brother.Dah.... Mpaka mwanamke kufikia kuolewa amepitia mengi mno
Acha ubahili kijana.Hadi nihonge kuamzi buku5 ni lazima niwe nimeshakula papuchi Mara kadhaa for free
Dah.... Mpaka mwanamke kufikia kuolewa amepitia mengi mno
Onga wewe, watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji!Naona ng'ombe wanapeana moyo....ama kweli ng'ombe hawaishi kila siku wanazaliwa!
Huo Ndo uanaumeMimi nimehonga 170,000/- na papuchi sijala
Sihongi na sipati shida kupata watoto wazuri. Kuhonga maana yake umeshindwa kupata kitu mpaka utoe hela au kitu. Bado sijashindwa kuwapata bure.Onga wewe, watoto wazuri utaishia kuwaita shemeji!
SawaSihongi na sipati shida kupata watoto wazuri. Kuhonga maana yake umeshindwa kupata kitu mpaka utoe hela au kitu. Bado sijashindwa kuwapata bure.
Inabidi tukutoe Team kiumeni!wewe ni mzembe wa kiwango cha lami!yaani laki na 70?Mimi nimehonga 170,000/- na papuchi sijala
Laki 6 mkuu ungeweza kununua hekari sitaKiasi kikubwa ni 6k cash na roho ilivyo niuma nilimwacha kimya hadi leo ajui kosa alijua ananioshea sana