Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Dah sasa hiyo 30 si nauli tu jamaniWale mabahili lakini tunahonga tukutane hapa!
Nianze na Mimi kima cha mwisho kabisa nimeshawahi kuhonga kima cha mwisho kabisa Elfu 30tsh tena hadi Demu nimuelewe kweli kweli na lazima nimpe na zawadi ya mimba kabisa!
Je?wewe umeshawahi kuhonga bei gani na pia ukajutia sana!
Team mabahili tukutane hapa
Msambwanda kwa buku jero [emoji108][emoji23]Nishawahi na muda huu niko njiani naenda kuhonga 30 nile cha uwani
Dah sasa hiyo 30 si nauli tu jamani
Tisha sanaIla haijawahi kuzid 4800
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] yaaani 30 hio ni hela yakumtoa barmaid baa kuja njee ya eneo lakazi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa! Nauli ya kwenda wapi mkuu!? Nauli ya serikali ni 750tsh tu
Ukiona mwanaume huwezi kuonga utabaki peke yako au jipange kupigiwa na watoa pesa.
Naomba kujuzwa kama kuhonga na kununua ni vitu tofauti au ni jambo hilo hiloWale mabahili lakini tunahonga tukutane hapa!
Nianze na Mimi kima cha mwisho kabisa nimeshawahi kuhonga kima cha mwisho kabisa Elfu 30tsh tena hadi Demu nimuelewe kweli kweli na lazima nimpe na zawadi ya mimba kabisa!
Je?wewe umeshawahi kuhonga bei gani na pia ukajutia sana!
Team mabahili tukutane hapa
Yaani hiyo hata nauli haijatosha kabisa.Dah sasa hiyo 30 si nauli tu jamani
UongoNaona hii ni thread ya wavulana tu hakuna wanaume hapa, yani unatoa elfu 30 unajisifia umehonga? Pesa haitoshi mlo wa siku moja nyumbani kwangu au niseme ni pesa ya mafuta kunipeleka kazini siku moja
Yaani hiyo hata nauli haijatosha kabisa.
Niliwahi ku-bet nauli ya kutoka Mtwara hadi Mwanza.
Kiukweli kama asingekuja ningeumia mno.
Lakini mtu alifika vizuri.
Mungu amsaidie huko alikoolewa, maana alikuwa ni mchumba wa mtu kutoka Malawi.