Wana Cc hv nan amewah kucheza kombolea namaanisha hii ni zaid kwa wale 2liolelewa kiuswaz mana get kal humkuti na hii michezo,
upande wa kombolela nilikua napenda mchezo wa kubadilishana nguo,
Na upande wa baba na mama nilikua napenda kua mtoto mana nilikua na umbo dogo enzi hzo
sasa tutacheza nini tena
Kwani hata mchezo 6 X 6 wameshakupiga marufuku? Njoo nikung'ate sikio.
Mchezo wa kombolela ulichochea ngono hasa wakati wa kujificha.
Aha na bibi alikuwepo
Halafu utalirudishia kama la yule mtumwa wa kuhani mkuu?ππ±:what: