One of the useful use of deep web in blockchain ambayo kupitia humo ndo dunia inatarajiwa kuingia ktk mfumo mpya kabisa wa kufanya miamala ya digital currency the like of Bit coin ,One coin etc etc
ila super administrator Dread Roberts wa silk road anasema hairuhusiwi kuuziana vitu vya wizi,counterfeit money,child pornography in short kufanya chochote kinacho harm innocent people.
sema walimwengu ile fair and pure freedom wanaitumia vibaya
One of the useful use of deep web in blockchain ambayo kupitia humo ndo dunia inatarajiwa kuingia ktk mfumo mpya kabisa wa kufanya miamala ya digital currency the like of Bit coin ,One coin etc etc
Mkuu iko hivi tor browser Ina VPN yake kwa hiyo ukiinstall inakuunganisha kwenye network yao na inakupa IP nyingine, kutumia tor Google my IP utaona kompyuter aonyesha upo sehemu nyingine.
Tor browser ukiitumia ina hide IP yako na una surf anoynomously lkn Siyo guarantee 100% usiitegeme saana japo inaficha muhimu funga JavaScript yko sabb inaweza kureveal identity yko
Ukitaka uwe privacy kbs
Tumia os ya tails na tor browser ,windows cyo guarantee
Kuna virus jina kidogo kanitoka! Ukitupiwa anakula vitu vyote kwenye mashine then anai lock mashine yako unakuwa huna uwezo wakui fanya chochote Hata kuizima mpaka utoe betry ndio itazima na kui washa tena Ni mpaka upige window chini upandishe nyingine