Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
ah namchokoza tu,namnawisha mikono kula hali..
Nakupenda Mom Fay! Ndio nimefunguka hivyo!
ah namchokoza tu,namnawisha mikono kula hali..
Hata wewe pia domo zege, mbona hujafunguka. kamtongoze tu.
yeye keshamtongoza "kwa maumbile ya nyuma" jamani...dunia Ina mengi
Umeona eeh. Mom Fay.mi.anaanivunjaga mbavu na vituko vyake tu....halafu.anamuonea jamaa vile choka mbaya flani ivi....ila siku auamvulia ndo atajua kisa cha jogoo kuwahi kuamka ila hawezi toka nje hadi afunguliwe mlango
Cc Evelyn Salt Asprin
uh Kaizer nimegundua huyu kaka kumbe yupo pia hapa jf na ID' yake nshaijua...nimtaje nisimtajeee???!..