Umependa Kweli, Funguka usikike!!.

Umependa Kweli, Funguka usikike!!.

eh jaman,mbona kila mtu ananiambia hv? wachache sana wanatusifia tukiwa pamoja,kuna ukwel gan hapa? mbona mimi namuona kawaida tu na upendo ndo unazidi kila leo,?!.tatizo nini

Subiri achoke kutupia magoli itakuja kuomba ushauri humu
 
eh jaman,mbona kila mtu ananiambia hv? wachache sana wanatusifia tukiwa pamoja,kuna ukwel gan hapa? mbona mimi namuona kawaida tu na upendo ndo unazidi kila leo,?!.tatizo nini

Kuna siku utajua ukweli!!
Kama upo naye kwa Leissure just go ahead...ila km unajifariji atakuja kuwa hubby imekula kwako..
Endelea kufanya promo machoni mwa watu mwisho wa huko utatupwa hukoooo...
 
loph ilinikutaga hiyo

lakini nilihamaga mtaa aijuagi tena habari zake
 
Habari humu ndani?!.

mimi langu leo humu ndani moja tu la nyinyi wanaume!!.kama kweli unanipenda kwanini usifunguke??!!eh! eti kama kweli unajiamini umependa kwanini usiseme ukasikika?..unabaki kuumia ndan kwa ndan tu,mara nipite uniangalie juu mpaka chini unimalizi tatizo nini na mdomo wako?!.

kuna mwanaume hapa mtaani nimegundua ananitamani sana tu!,nasema ivo kwakuwa sipo kwenye moyo wake nihakikishe eti kapenda ila kwa nnje unamjua tu lakini eti hana ujasiri wa kufunguka...na mimi nimegundua hilo!!..kuna mda nilikutana nae akawa ananiangalia kama anataka kusinzia kikasema hapohapo we boya nikapita mbele yake makusudi hawez hata kusalimia,nikajiachia na kuacha yangu yakitikisika vurugu vurugu huko nyuma, nilopewa na mama sijajishikilia hata kidogo huku nikijua wazi anaangalia sehemu hizo...kwa sababu ya tamaa zake na hata akiniita siitiki,akijaribu kuniongelesha ataambulia majibu ya kaoge!!..mwanaume lazima ujiamini, umependa kweli funguka!..

jion njema.

Hehehehehe akisema Tampa au basi tuuu
 
Sijaamini nilichokisoma Mke mwenzangu!!! Umejitikisa kwa mkaka wa mtaani na bebi wetu vipi? I wish asikie haya jaman niachie mume maana umeanza macho juujuu.

ah mke mwenza unitakii mema wewe!uuh
 
Habari humu ndani?!.

mimi langu leo humu ndani moja tu la nyinyi wanaume!!.kama kweli unanipenda kwanini usifunguke??!!eh! eti kama kweli unajiamini umependa kwanini usiseme ukasikika?..unabaki kuumia ndan kwa ndan tu,mara nipite uniangalie juu mpaka chini unimalizi tatizo nini na mdomo wako?!.

kuna mwanaume hapa mtaani nimegundua ananitamani sana tu!,nasema ivo kwakuwa sipo kwenye moyo wake nihakikishe eti kapenda ila kwa nnje unamjua tu lakini eti hana ujasiri wa kufunguka...na mimi nimegundua hilo!!..kuna mda nilikutana nae akawa ananiangalia kama anataka kusinzia kikasema hapohapo we boya nikapita mbele yake makusudi hawez hata kusalimia,nikajiachia na kuacha yangu yakitikisika vurugu vurugu huko nyuma, nilopewa na mama sijajishikilia hata kidogo huku nikijua wazi anaangalia sehemu hizo...kwa sababu ya tamaa zake na hata akiniita siitiki,akijaribu kuniongelesha ataambulia majibu ya kaoge!!..mwanaume lazima ujiamini, umependa kweli funguka!..

jion njema.

p.ungua.ni wewe...
 
......Nilichojifunza katika uzi wako ni kwamba ulitaka tujue kuwa una ''mzigo'' ambao ukitembea una-vibrate. Hongera dada!
 
Back
Top Bottom