Umependa Kweli, Funguka usikike!!.

Umependa Kweli, Funguka usikike!!.

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari humu ndani?!.

mimi langu leo humu ndani moja tu la nyinyi wanaume!!.kama kweli unanipenda kwanini usifunguke??!!eh! eti kama kweli unajiamini umependa kwanini usiseme ukasikika?..unabaki kuumia ndan kwa ndan tu,mara nipite uniangalie juu mpaka chini unimalizi tatizo nini na mdomo wako?!.

kuna mwanaume hapa mtaani nimegundua ananitamani sana tu!,nasema ivo kwakuwa sipo kwenye moyo wake nihakikishe eti kapenda ila kwa nnje unamjua tu lakini eti hana ujasiri wa kufunguka...na mimi nimegundua hilo!!..kuna mda nilikutana nae akawa ananiangalia kama anataka kusinzia kikasema hapohapo we boya nikapita mbele yake makusudi hawez hata kusalimia,nikajiachia na kuacha yangu yakitikisika vurugu vurugu huko nyuma, nilopewa na mama sijajishikilia hata kidogo huku nikijua wazi anaangalia sehemu hizo...kwa sababu ya tamaa zake na hata akiniita siitiki,akijaribu kuniongelesha ataambulia majibu ya kaoge!!..mwanaume lazima ujiamini, umependa kweli funguka!..

jion njema.
 
VP yule mbongo movie hajambo shostiii???
 
Wewe hupendi fedha?Money talks Mom Fay
 
Last edited by a moderator:
Naye anatangaza kuwa umemzimia maana ukipita unamtazama sana na kutikisa maumbile ya nyuma!!!

wala simtizami sana,ila namcheck kiuchokozi ila huko kwingne hata sijibebi
 
Asante kwa kunisema humu jamvini,we ngojea tu dawa yako iko jikoni...,kwi kwi kwii!
 
Back
Top Bottom