Ndo kujuana kwenyewe huko mkuuMuhimu ila hayo maswali saa zingine kama upo kituo cha polisi kila ukijibu unalo
Ni hua namsnich tu Mshikaji alie nipa namba then naanza kutupia swaga nae siku akibanwa atajijua namna ya kusolveHabarini wadau wa JF
Basi pasipo kupoteza muda. Wadau wenzangu hususani wanaume huwa mnatokaje mkiulizwa swali hili
Umepataje namba yangu?
NB: Hilo swali umeulizwa na mdada mrembo asiyekufahamu baada ya kumpigia simu. Namba umepewa na mshikaji wako
Msaada wadau nimekwama huku