"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Kiru, embu lete risiti ya baba anaangalia taarifa ya habari plz, ili tuamini
 
Yani wewe bwana, hujakutana na demu wa Buza au wa UPANGA.
ETI unamletea barua kama hii, kwanza hio tigopesa yeye ni wakala, ikiingia Tu anazitoa mwenyewe, alafu anakuwashia flight mode, utapiga simu weee unaambiwa inatumika mpaka ukumbuke kuwapigia tigo mwenzio ana line nyingine mudaaa Ile ulorusha pesa inasoma Abdalah na haipo hewani🚢🚢
 
Mbinu zako ni za kupoteza pesa sana...wanawake wengi wana wasi wasi sababu wanatembea na waume za watu etc....
I second you
Huyo anakutana na malughalugha hajakutana na mademu WA Buza
 
Huwezi kua ndezi kila mwanamke unataka utumie pesa ngoja nikupe akili tongoza wanawake wenye interest na wewe utajilia wengi sana bila kupoteza hela...
Hizo pesa anatupa ovyo kwanini?!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Labda mwenzetu mkinga muache Tu🚢🚢🚢
 
Basi huo mtego hatoki MTU..mm sikupigii simu kuuliza pesa,,nikituma pesa sipigi simu wala siulizi...atauliza yeye,,samahani kaka wewe nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yap thats it hata mm sipendi kuulizwa namba yangu umepata wapi very old school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…