"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Sijui nitapata wapi namba ya Dada wa humu nimpigie nione kama somo limeeleweka!
Hebu mmoja anipe mamba yake PM nifanye kama nampigia!

Sent using kidole gumba
 
MWANAMKE hawezi badili namba sababu ya pesa,atadhani katumiwa na MTU,,, akikupigia jieleze ,,,halafu mwambiye,, asihofu achukuwe tu,,ni riziki yake,,ila omba ni save namba,huenda siku nikakutafuta..nikusalimie mrembo mwenye bahati... Hapo umeshinda,,TATIZO MIDUME midomo zege ndy shida ikishajuwa MBINU inamwaga kwa mabinti halafu mbinu haifanyi kazi tena..
dingi apo umeua ila mi kuna mwaka sijui nlikuw na gundu,nikijifanya nakosea kutuma ela kwake ndo inakuw mwisho wa ile namba kupatikana hewan.sheeeenz kabsa wale madem

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah 5000 tu? We jamaa hatari sana

Sent using kidole gumba
 
Mbinu zako ni za kupoteza pesa sana...wanawake wengi wana wasi wasi sababu wanatembea na waume za watu etc....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…