Rajikumar Ashoka
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 150
- 91
FritterSee you on twitter...... hapo kwenye you unajifanya muhindi na kusema vvvvuu kisha hapo kwenye twitter unatamka twiiiii huku kama unasonga ugali kwa ulimi basi utaona nlichoona Kasie Mahaba. ...
Hiviiiiii kitumbua kwa kiingereza kinaitwaje?
Fritter imejaa kweli[emoji116] [emoji116]View attachment 566973
Mimi nimeona rangi nzuri ya Total, hapa itakua sheli au wapi?
Ni tunda gani hili au ndio lile alilokula adam akurushwa dunianiFritter imejaa kweli[emoji116] [emoji116]
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
Ni kweli ni aina za chupi kutoka China. Zinakuwa zimetuna katika mtindo huwa hata kabla ya kuvaliwa.Mchina huyo kawekwa katikati ya miguu hamna kitu hapo kajitu hakajai hata vidole viwili vidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ni thing, mbu ni mosquito, hiyo watatusaidia wajuvi zaidi. Hicho kudude kimeshanipotezea imakini.See you on twitter...... hapo kwenye you unajifanya muhindi na kusema vvvvuu kisha hapo kwenye twitter unatamka twiiiii huku kama unasonga ugali kwa ulimi basi utaona nlichoona Kasie Mahaba. ...
Hiviiiiii kitumbua kwa kiingereza kinaitwaje?
KitusuSee you on twitter...... hapo kwenye you unajifanya muhindi na kusema vvvvuu kisha hapo kwenye twitter unatamka twiiiii huku kama unasonga ugali kwa ulimi basi utaona nlichoona Kasie Mahaba. ...
Hiviiiiii kitumbua kwa kiingereza kinaitwaje?