Yes Yes Yo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 232
- 99
thanks
Lazima Ujue Kwamba MMEO NI KIONGOZI WAKO, Haijalishi Uko SMART KIASI GANI, Mme Anabaki Kuwa Mme... Hata Ukiwa Rais Wa Nchi, Ukirudi Nyumbani UNAKUWA MKE WA MTU; Hapo Elimu, Nafasi, Cheo, Umaarufu Havifanyi Kazi.
Ukijikanyaga tu; BOMU LINALIPUKA... "Huwezi Kuwa Na Hekima Kuliko Mungu Aliyeanzisha Ndoa"

Nahisi kuna mtu ulikuwa unampa ujumbe, atakuwa amekusikia.
HAKUNA MJADALA, "MME NI KICHWA KWAKO"
"Mme Ni Kichwa Cha Mkewe... Hata Kama Kichwa Hakina Akili Bado Ni Kichwa, Na Unavyojaribu Kupangua NAFASI YAKE Unadhihirisha Usivyo Na Akili Zaidi Kwa Kukubali Kuolewa Na Mjinga... Umeshaolewa, Umegundua Ni Mjinga, Ishi Naye Kwa Akili Na Msaidie Kujua Nafasi Yake Na Muache Akae Kwenye Nafasi Yake"