Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,347
- Thread starter
- #21
Goodnight yah!!
hapo uko wapi mkuu, Uko na shemeji?Hapa ndio kuna mtihani....una mke mzuri sana lakini ukimzoea unamuona wa kawaida....akipita Demu sura ya baba flat screen unapagawa kabisa sijui nini?
Funga ukurasaGoodnight yah!!
Mimi niko na sampuli mbili minimum moja huwa siwezi. Msagara na Mkaguru shoo za hatari sanaTuambiane mchepuko wanini??