FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
Kiaina, kama nilivyosema, nataka wadogo zangu wapate wake wazuri, na pia wanaJF mabachela wa hapa ndani wapunguze threads za ..."NIMEIBIWA, .....NIMECHANGANYIKIWA ....etc!..mi huwa zinaninyima amani sana!
Nadhani tuko pamoja dada FL1
Usukumani jamani raha asikwambie mtu hawa mabinti nawapenda sana ningekuwa nauwezo ninge........
Fidel, dini yako haikuruhusu kuoa mke wapili...tafadhali usije ukaingia matatani na kukimbilia JF kuomba ushauri!
Mahawara pia dini inakataza. Labda kudumisha mila ndiyo haijakatazwa popote.Dah mzee kama ulikuwa kichwani mwangu yaani mle mle hehehe.
Yeah dini yangu inaruhusu mmoja tu, hivi upande wa mahawala dini inasemaje huwa sielewi kabisa hapo.
Mahawara pia dini inakataza. Labda kudumisha mila ndiyo haijakatazwa popote.
Anaitwa Mdumishiwa Mila.Unae mdumisha mila yule kwa kiswahili tunamwitaje?
shemeji yangu sio muoaji jameni.....we muache hivyo alivyo....
Anaitwa Mdumishiwa Mila.
Huh...!$*@^^^&&&&&$#**********!!!!!!!!Dah mzee kama ulikuwa kichwani mwangu yaani mle mle hehehe.
Yeah dini yangu inaruhusu mmoja tu, hivi upande wa mahawala dini inasemaje huwa sielewi kabisa hapo.
Dah mzee kama ulikuwa kichwani mwangu yaani mle mle hehehe.
Yeah dini yangu inaruhusu mmoja tu, hivi upande wa mahawala dini inasemaje huwa sielewi kabisa hapo.
Fidel wewe umeoa lini acha uzushi wako.
shemeji yangu sio muoaji jameni.....we muache hivyo alivyo....
Kuna vitu vingi sana huwa sielewi elewi!sijui nitaelewa elewa liniπNdio maana nakupenda shem. Ile vekesheni imekaribia....I hope uko tayari...
Ndio maana nakupenda shem. Ile vekesheni imekaribia....I hope uko tayari...
Kuna vitu vingi sana huwa sielewi elewi!sijui nitaelewa elewa liniπ
dah!!! umenisoma kilichokuwa akilini mwangu shem......leo nilipanga kukuuliza hilo!!
am sooo ready nakusubiri wewe tu.......
Jamani eeeh! Its Friday evening now, ngoja tuwaachie walioko US waendelee maana wao ndio kwanza kumekucha! π