Hey wanandugu,
Kuna kitu gani special na wanawake/wadada wa Kisukuma kulinganisha na wa makabila mengine?
Nawasikia vijana wengi wanapanga kuoa huko, na wengine wanasikitika kuwa lau wangejua wangeoa binti wa Kisukuma!
Pia kuna mdada mwanaJF mwenzetu nilikuwa naongea nae kwa simu, akanambia ningebahatika kuoa msichana wa Kisukuma, basi ningekuwa na afya njema kuliko nilivyo sasa, japo hatujawahi kukutana na mdada huyu ili ajue currently nina afya inayofananaje!
Binafsi sijabahatika kufika usukumani, lakini pia sijapata kuwa na ukaribu na mwanadada wa kabila hili...!
Je watu hawa wana nini cha ziada, nijulisheni kwa faida ya wadogo zangu na waoaji wengine!
na huo mwili ulionao:Hey wanandugu,

lol, I strongly disagree!- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali
PakaJimmy,
Wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali
Duh tabu Duh shida!
Noop MARIA ROZA,...HUJANIPATA!
HUYO MDADA alikuwa ananiambia mimi PJ kuwa ningebahatika kupata Mwanadada wa maeneo hayo!
Huh!Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
Huh!
Is it so?
Tuwe fair jamani, tusitetee kisa ni kabila letu!..huh!
Niko fair kabisa..
Mhh naomba kuuliza hivi Teddy Kalonga na Miriam Gerald ni wenyeji wa wapi vile????
Nacho wapendea zaidi ni warefu na wenye maumbo mazuri huku wakiwa na sauti nyororo zenye kumtoa nyoka pangoni. Kwa kweli ni warembo sana watoto wa Usukumani.
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
Lol, mzee wa zanzibar unauzoefu. Zenji wapo wasukuma?Kingine wanawake wa Kisukuma sio wabishi wanajua wajibu wao kama mama.
Wanafua kufuli zao na za waume zao si wabishi pale mnapo pangiana majukumu.
Si wote bwana.
Umesahau kitu kingine. Ngozi zao ni nyororo pia na wana meno mazuri sana yaliyopangika vizuri