Ndiyo yaliyonifika mkuu. Wote tumepotezeana muda, halafu yeye analalamikia muda wake, utadhani mimi muda wangu ndiyo haukuwa na thamani!Bora huyo, kuna wengine eti wanasema umeshapata unachokitaka sasa hivi hunitaki tena, mara umenichezea ukaniacha..! Kama kuchezea tumechezeana wote, Sote tumeutumia vibaya ujana wetu, wadada wananishangaza sana
joto hasiraBora huyo, kuna wengine eti wanasema umeshapata unachokitaka sasa hivi hunitaki tena, mara umenichezea ukaniacha..! Kama kuchezea tumechezeana wote, Sote tumeutumia vibaya ujana wetu, wadada wananishangaza sana
Ndiyo yaliyonifika mkuu. Wote tumepotezeana muda, halafu yeye analalamikia muda wake, utadhani mimi muda wangu ndiyo haukuwa na thamani!
"Mungu akulaani kwa kunipotezea muda wangu kiasi hiki halafu leo unaniacha". Nyambafu kabisa wewe binti, kwani mimi muda wangu ulikuwa haupotei au haukupotea? Ulaaniwe kabisa na wewe!
Afu atakuambia ulinitumia! Kwani yeye hakukutumia? Mahusiano bwana!
ndo aseme kuwa amepotezewa muda?mmmmmmmmh inategemea yupi kamuacha mwenzie na kwa sababu gani...............kama hakuna sababu ya msingi mwache aseme anavyojisikia bhana maana asipoongea anaweza kujitundika.
ndo aseme kuwa amepotezewa muda?
"Mungu akulaani kwa kunipotezea muda wangu kiasi hiki halafu leo unaniacha". Nyambafu kabisa wewe binti, kwani mimi muda wangu ulikuwa haupotei au haukupotea? Ulaaniwe kabisa na wewe!
"Mungu akulaani kwa kunipotezea muda wangu kiasi hiki halafu leo unaniacha". Nyambafu kabisa wewe binti, kwani mimi muda wangu ulikuwa haupotei au haukupotea? Ulaaniwe kabisa na wewe!
@Power wewe kubali yote kwani huwezi elewa MUNGU kakuepusha mangapi?"Mungu akulaani kwa kunipotezea muda wangu kiasi hiki halafu leo unaniacha". Nyambafu kabisa wewe binti, kwani mimi muda wangu ulikuwa haupotei au haukupotea? Ulaaniwe kabisa na wewe!