Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Najua mu wazima.,
umenipendea nini? Ni moja ya maswali ambayo sipendi kuulizwa na mpenzi wangu.,
je ww hupendi swali lipi na unapenda lipi?
Unaishi na wazazi wako au peke yako? Hiyo nyumba umepanga au yako? Una gari ngapi? Kwenu mmezaliwa wangapi? Wangapi wako majuu? Unapenda mwanamke wako aweje? Huyo wa mwanzo alikuwaje? Nikikupenda utanipendaje?
utanigegeda lini?? napenda sana hilo swali!Najua mu wazima.,
umenipendea nini? Ni moja ya maswali ambayo sipendi kuulizwa na mpenzi wangu.,
je ww hupendi swali lipi na unapenda lipi?
hivi unanipenda kweli?
utanigegeda lini?? napenda sana hilo swali!
hahahaaa!!! hamna dem wa hivyo wewe!sasa hivi baby! twende nkakugegede
sasa hivi baby! twende nkakugegede
Sipendi kuulizwa 'ushakuwa na wanaume wangapi kabla yangu??