Umeninyima nyama,na supu pia??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeninyima nyama,na supu pia???

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shekispia, Apr 25, 2012.

 1. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa alikuwa anamfukuzia demu lakini yule dem akawa anachomoa,siku moja huyu dem alikuwa anafua nguo zake za ndani "chupi",jama akatokea pale na kuomba maji ya kunywa.Ile dem anarudh akamkuta jamaa anakunywa yale maji anayofulia chupi zake.Dem kwa hasira akumuuliza ndo nini hvo unafanya???Jamaa akajibu...UMENINYIMA NYAMA SAWA,BASI HATA SUPU YAKE NISINYWE!!
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mwe....
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mohamedi Shozi alishaleta kisa hiki naona hukukiona tu.
   
 4. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Humu tuna watu wana maneno!!!!
   
Loading...