Duh hiyo bold imenikamata sana, well mi nadhani ni mtu kushindwa kuelewa au kujua anataka mwnza wa aina gani, anajiingiza kwa mtu na kuanza kumsoma wakati anakuwa tayari kwenye mahusiano, cha muhimu ni mtu ku focus, kujua nini ni nini, na kitu gani hakipendi......kuchagua mwenza sio jambo la kukurupuka, wengi wetu tunafanya maamuzi ya haraka na kuja kujuta badae, tunapokatishwa ndio tunaanza kujutia maamuzi yetu, mwisho nahitimisha "hakuna kuharibiwa maisha na mtu ni wewe mwenyewe ndio ulijiharibia" kwa kushindwa kuchagua nazi mpaka ukapat koroma
Nadhani ni aina flan ya uselfish.... Maisha mmeishi pamoja iweje ulalamike yako ndo yameharibiwa? Na unapotishia kujiua lengo lako ni nini?
I have bn there and believe me usipokuwa makini utajikuta unastick kwa mtu si kwa kuwa unampenda la hasha ni kwa kuwa unaogopa kumwacha kwani atajiua!
Easier said than...
Mkuu
Mimi hii imenitokea MARA 2 recently
Kwanza wanaanza kujiapiza NAFUTA NAMBA ZAKO ZOTE
Then baadae anakuja na NAONA BORA NIFE TU, SIWEZI KUISHI BILA WEWE CPU, UKISIKIA NIMEKUFA USISHANGAE, NIMESHAKUAGA RASMI.
Finally inakuja "Kumbe kweli umeshani-delete kwenye mind yako"
mimi nafikiri kama ni maisha wote wawili tunashirikiana kuyaharibu ila kwenye swala la kupotezeana muda mmoja ndio anaweza akawa anapotezewa muda.mimi kwa upande wangu hakuna kuharibiwa maisha...Labda kupotezewa muda....Ntarudi tena, ngoja nitafakari!..
Duh we bwana nafikiria kuku'rudishia' proposal yako! We have too many things in common loh hahhh
Yes kwa hapo ilikuwa emotional blackmailing... Nimejifunza what RR hav just put down, enjoy the love while it last....if it last forever I concider myself blessed and if it last shortly I consider my self lucky. Life has to go on and no one is responsible for your life, only you.
Mbu wazee wa zamani walilelewa kwa misingi imara na sheria kali ambazo waliweza kuzidhibiti kwa kipindi kile, nafikiri pia population ilikuwa ndogo hivo ikawa rahisi watu wanajuana hadi vijiji vya jirani, sio siku hizi hata jirani yako humjui ni nani, utaweza kweli mpa mwanawe maadili hata ukiona anapotoka?
Nice Gaga,
hapo kwenye kosa la kujiingiza kwenye mahusiano kwanza, kisha unaanza kumsoma mtu ndio kosa mojawapo!
Lakin i hebu twende mbele tukirudi nyuma. Mfano; wazee wetu wa miaka ya 60s kurudi nyuma, wengi hawakuwa Boyfriend na Girlfriend kwenye ujana wao. Wengi wao walikutanishwa through mawifi, mashemeji, mashangazi nk...
Wengi wao walioana na kuja fahamiana ndani ya ndoa. Wengi wao wameleana mpaka vifo vinawatenganisha.
Tatizo lipo wapi miaka hii ya leo kiasi kwamba "tunaona kuna umuhimu wa kufahamiana kwanza" kabla ya kuoana?
Je, ni muda gani unahitajika kumfahamu mwenzako ndipo muoane? na kujiridhisha nini mnataka maishani?
Bado nataka kuamini nhili neno 'umeniharibia maisha' halina maana yeyote kwa anayelitamka ila kukupandikizia lawama.
Hahahh CPU duh kweli limekutokea.... Ila reminder si kina dada tu ambao hukimbilia huko bali kuna wakaka pia haah
mimi nafikiri kama ni maisha wote wawili tunashirikiana kuyaharibu ila kwenye swala la kupotezeana muda mmoja ndio anaweza akawa anapotezewa muda.
Dah, pole sana CPU...sasa mnaendeleaje? au ndio ushachukuliwa msukule kwenye maamuzi magumu?
Mkuu una maanisha anaeacha asilaumiwe? lawama lazima ziwepo coz kuna upande wa pili ambao umeathirika na kitendo chako, na kila mtu ana haki ya kujisikia au kufanya afanyalo ili ajisikia au ujumbe ukufikie kwamba kaumia kiasi gani, then utampa reason kazi inabaki kwake, kwa mwenye upeo atafurahi kwamba umemwambia umemchoka kwa sasa, ila king'ang'anizi ndio atakuja na single ya kujiua
kiwango sana hii postMkuu..mimi nadhani vitu vyote vinatokana na Journey of love".. unajua wakati mapenzi yanaanza yanakuwa kama asali..yaani watu wanachanganyikiwa na wengine wanakosa hata uwezo wa kufikiria mazuri na mabaya..yaani hasa kina dada wanashindwa kujua kama porojo za wanaume ni zina ukweli au vipi..as a human instinct ..wanaume wamejaliwa uwezo wa kucheza na akili za kina dada hivyo ni sehemu ndogo ya kina dada wanakuwa ngangari na mtego huu.. Sasa, ukiangalia vizuri suala la kuharibiana maisha lipo sana toka kwa kinadada ..kuwaambia kinakaka..kwani kinadada wanapenda kiukweli wakati asilimia kubwa ya wanaume wana .. "artificial feelings ambazo zinasukumwa sana na tamaa za mwili.
Mimi nafikiri..Katika kipindi hiki ambacho mapenzi ni asali hapo ndipo porojo za wanaume zinapom-maliza mwanamke..wakati mwanamme anatunga porojo ili alidhishe tamaa yake ..masikini mdada anapenda kwa ukweli ..na zile sense za kuhisi hatari zinakuwa zimezima..Sasa mwanaume akishashiba ..ile graph ya mapenzi inashuka ghafla..na mwanamke anazinduka toka katika usingizi..huu ni wakati wa panic anaweza fanya lolote..lakini kama akitulia ile panic itaisha.. kwa upande wa mwanaume kwa sababu alikuwa na artificial life' hatotilia maanani..hivyo basi hata rafiki ya kike akimwambia amemuharibia maisha haitoingia kichwani kwani yeye alikuwa anataka kitu fulani tena kwa muda fulani..yaani hata msichana kama hatajiua hii haitaingia akilini kwa mwanume ..yaani hata msichana hakikuambia maisha yake hayana thamani yaani ni kumpigia mbuzi gitaa ..kwani ni kweli maisha ya msichana yalikuwa hayana thamani toka mwanzo..kilichokuwa na thamani ni mwili..
Lakini, in contrast..kama wote wawili..mlipendana kiukweli..na mkapanga mambo mengi kwa ajili ya baadaye..halafu ikatokea kitu nje ya uwezo wenu kutofanikisha malengo yenu..Kama dini..wazazi..n.k..Hapo wote wawili mtayumba kisaikolojia..na hata kama mtapata wapenzi wapya hapo baadaye..lile jeraha halitofutika kamwe..
Mbu wazee wa zamani walilelewa kwa misingi imara na sheria kali ambazo waliweza kuzidhibiti kwa kipindi kile, nafikiri pia population ilikuwa ndogo hivo ikawa rahisi watu wanajuana hadi vijiji vya jirani, sio siku hizi hata jirani yako humjui ni nani, utaweza kweli mpa mwanawe maadili hata ukiona anapotoka?
Mahusiano ya siku hizi yametupa nafasi ya kusomana na bado tunafeli hapo utajua kwamba mapenzi hayana darasa, nikirudi kwa wazee, pia walikuwa na matatizo ila kuyajua utayajuaje?globalization imatusaidia sana in one way or another, embu ona leo hii najua mbu alipitia nini katika mahusiano yake wakati maybe unaishi london, na mbu leo anajua Gaga alipitia nini na niko mbali kabisa
Mie nawashauri vijana ambao bado mnatafuta wapenzi wa kuishi nao mtumie hii advantage ili kupembenua mabo ya mahusiano, ingawa hayawezi kuwa perfect asilimia mia moja lakini kuna ambacho kitakusaidia
Mi kwa kweli naogopa sana watu wa aina hii. Yaani hata kama nimempenda vipi, akifikia hatua ya kusema ANAJIUA KWA AJIRI YANGU nabadilisha mawazo fasta. Maana naamini hii kauli ina maana zaidi ya hapo aliposema. Inaweza kugusa hata ktk maeneo mengine pia. Ipo siku akisikia tetesi tu kwamba CPU anatembea na MJ1 akaamua "Bora nimwekee sumu kwenye msosi afe kuliko kumuona akitesa na MJ1"
Baadae baada ya kumuua CPU anagundua kwamba MJ1 hana mawasiliano na CPU mwaka umepita, na wala hajawahi hata kujua sura ya CPU
kama hanipendi tena, kwa nini azuge bado ananipenda? japo hoja yangu haiwajumuishi wale wanaAsante kwa mj1 kwa kunirahisishia maana....mapenzi sio lazima yawe ya milele...binadam si tunabadilika?[/QUOTE
Ni kweli kabisa RR ila yule mtendwaji hataondoka kimya lazima atakupa maneno mawili matatu ili aweze ku move on, haijawahi kukutokea umekosana na mpenzi na unataka ku move on ila unahitaji siku moja tu uongee yaliyo moyoni ayasikie then unajisikia kama umetua zigo zito moyoni na unajihisi mwepesi unaendelea na maisha hapo hata aje na maelezo gani tena hurudi nyuma
tunaharibiana maisha pale ambapo tunatenda mambo ambayo kwa kujua au kutojua yataharibu mafanikio yetu ya baadae au yatakuwa ni vikwazo kwa sasa tukapohitaji kusonga mbele. Mfano mmoja mkubwa ni mimba wakati bado tunasoma. Lawama tunawapa wanaume ila na binti husika umechangia kiasi kikubwa kujiharibia maisha, umechangia kujiwekea vikwazo vya kutosonga mbele katika maisha yako ya kielimu. Umechangia kwa sababu ulikuwa unajua matokeo ya kufanya ngono, (kwa case hii exclude waliopata mimba kwa kubakwa). Na kwa mwanaume pia amechangia kwa maana anajua binti unasoma na asingetakiwa kukurubuni au angekulinda kwa namna yoyote asikupe mimba. Hvyo wote hapo mmeyaharibu maisha yenu.Kuhusu swali la malengo yangu mbu, malengo yapo mengi ila kimahusiano ni kutengeneza familia nitakapoona nipo tayari kufanya hvyo.Nafikiri nimeeleweka.Husninyo nakushukuru sana kwa uwazi wako hapa.Now, sit back and reflect what you've just written there...Maswali yangu ni guidance tu, ...nahisi nimekuelewa umesimamia upande gani kwenye mada hii...It's ok...kuwa muwazi tu. Karibu tujadiliane kwa mtazamo wako, kwa mapana zaidi.
- kuharibiana maisha maana yake nini?
- malengo yako (maishani na mapenzi) ni nini?
Mkuu..mimi nadhani vitu vyote vinatokana na Journey of love".. unajua wakati mapenzi yanaanza yanakuwa kama asali..yaani watu wanachanganyikiwa na wengine wanakosa hata uwezo wa kufikiria mazuri na mabaya..yaani hasa kina dada wanashindwa kujua kama porojo za wanaume ni zina ukweli au vipi..as a human instinct ..wanaume wamejaliwa uwezo wa kucheza na akili za kina dada hivyo ni sehemu ndogo ya kina dada wanakuwa ngangari na mtego huu.. Sasa, ukiangalia vizuri suala la kuharibiana maisha lipo sana toka kwa kinadada ..kuwaambia kinakaka..kwani kinadada wanapenda kiukweli wakati asilimia kubwa ya wanaume wana .. "artificial feelings ambazo zinasukumwa sana na tamaa za mwili.
Mimi nafikiri..Katika kipindi hiki ambacho mapenzi ni asali hapo ndipo porojo za wanaume zinapom-maliza mwanamke..wakati mwanamme anatunga porojo ili alidhishe tamaa yake ..masikini mdada anapenda kwa ukweli ..na zile sense za kuhisi hatari zinakuwa zimezima..Sasa mwanaume akishashiba ..ile graph ya mapenzi inashuka ghafla..na mwanamke anazinduka toka katika usingizi..huu ni wakati wa panic anaweza fanya lolote..lakini kama akitulia ile panic itaisha.. kwa upande wa mwanaume kwa sababu alikuwa na artificial life' hatotilia maanani..hivyo basi hata rafiki ya kike akimwambia amemuharibia maisha haitoingia kichwani kwani yeye alikuwa anataka kitu fulani tena kwa muda fulani..yaani hata msichana kama hatajiua hii haitaingia akilini kwa mwanume ..yaani hata msichana hakikuambia maisha yake hayana thamani yaani ni kumpigia mbuzi gitaa ..kwani ni kweli maisha ya msichana yalikuwa hayana thamani toka mwanzo..kilichokuwa na thamani ni mwili..
Lakini, in contrast..kama wote wawili..mlipendana kiukweli..na mkapanga mambo mengi kwa ajili ya baadaye..halafu ikatokea kitu nje ya uwezo wenu kutofanikisha malengo yenu..Kama dini..wazazi..n.k..Hapo wote wawili mtayumba kisaikolojia..na hata kama mtapata wapenzi wapya hapo baadaye..lile jeraha halitofutika kamwe..
...
...ila experiences zinatofautiana, nilikuwa kwenye relationship iliyodumu miaka zaidi ya kumi. Kama ni 'Love Joint acount' - banking, basi nilihakikisha naweka akiba ya kutosha kunufaisha account,...bahati mbaya, wakati mimi naamini figure kwenye 'Love deposit receipts', mwenzangu alikuwa anacheza na 'Love ATM'... Siku nakurupuka, account tayari ilishakuwa overdrawn....---maisha yakabakia tunaishi kwa 'Overdraft!' - Mapenzi haya...!
Husninyo nakushukuru sana kwa uwazi wako hapa.
Now, sit back and reflect what you've just written there...
Maswali yangu ni guidance tu, ...nahisi nimekuelewa umesimamia upande gani kwenye mada hii...
- kuharibiana maisha maana yake nini?
- malengo yako (maishani na mapenzi) ni nini?
It's ok...kuwa muwazi tu. Karibu tujadiliane kwa mtazamo wako, kwa mapana zaidi.