:A S crown-2: Mh jamani naruhusiwa kuirudisha hii back forth?? Maana mh...............hili la umeniharibia maisha linakuja but linagongana na ..........because of my choice, I had you to ruin my life......nimekuruhusu na kukupa ufunguo wa maisha yangu uyaharibu................................. mwe!!
Leo sina hamu hata kidogo, nadhani due to what happened today nitafanya maamuzi ya ajabu sana. Some men!!!