Hahahhaha wapi kibatani cha like lol, yaani nikimkubalia nakua na faida mbili kwanza nimepunguza maana ukikaa sana zinajaa, pili ndio hivyo tena.
Habaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaarrrrr yake. Utu uzima raha sana asee
Naniino si aliiacha mwenyewe sina makosa mie kabisa, pesa zake nakula cause anataka kunigeuza mi ndondocha lake la mapenzi pambaf zake
mkuu ujue hili ni mtu na mtu tu....Ukiona mtu amejiua au anataka kujiua si utani anajua mwenyewe tu how pains he/she is facing.....Usiusemee moyo alisemaga lady jaydee
Watakusamehe wooooote, ila mi ntakusamehe baada ya kumalizana na wewe kwenye ile kesi yetu............ huwezi kuniharibia maisha namna hii afu nikusamehe kirahisi namna hii..........na ofkozi msamaha utatolewa pale tu ntakaposhinda hiyo kesi.
........................... natanguliza ombi la msamaha kama nitakuwa nimewakwaza kwa njia moja au nyingine.
Umekwisha na nini sasa babu?Kumbe?.......... Nimekwisha!
LUKU imeisha bila mie kujua.......na sina hela kwenye M-Pesa......Umekwisha na nini sasa babu?
Atleast ulipata wa kukufuta machozi, na wanatakaga wakikuacha urande na njia ukose hata wa kukupa habari, akikuona umependwa tena wanakuwa hawaamini as if aliondoka na roho yako yotemie niliwahi pia kuolewa ila nilianza matuc mapema ndio mana nikapitia hayo yote, nilivyoachwa nilipata uoga kabisa wa kupenda tena, nilikuwa najua wote ni wale wale, yaani kile kipindi kilinitesa sana, nilikuwa nakunywa pombe za aina zote kasoro gongo, college nilikuwa nakuona kama segerea, ilinichukua muda sana kupenda, na mr alifanya kazi kubwa sana kunirudisha kwenye hali ya kimapenzi, ilichukua muda kumuamini lakini ikawa na ikawa na maisha yakaendelea, halafu mwanaume wa hivi anakuja na hadithi zake za adunuwac kwamba alipitiwa nimpe nafac anielezee cjui nn na nn, yaani nazidigi kumchukia kwa jinc anavyonisumbua....Gaga kiujumla maisha matamu ukikubaliana na matokeo.
Pole si uhamia airtel wenzako wote tumehamia wewe unasubiria nn?LUKU imeisha bila mie kujua.......na sina hela kwenye M-Pesa......
Tatizo sina haja na WENZANGU wote, bali Gaga wewe........lakini ndo ishakula kwangu tena....kwanini lakini?Pole siku hamia airtel wenzako wote tumehamia wewe unasubiria nn?
Yaaani zitanyofolewa nzimanzima wakileta za kuletaLeo leo Gaga,Maty,MJ na nyamayao kuna mtu atanyofolewa huko aliko kama naziona hasira zinavoishia kwenye keyboard.
Bibi je mbona unamkana hadharani?Tatizo sina haja na WENZANGU wote, bali Gaga wewe........lakini ndo ishakula kwangu tena....kwanini lakini?
Waweza leta ushahidi hapa?Bibi je mbona unamkana hadharani?
Ukikubali mtu akuharibie maisha, umekubali kumpa mtu nguvu juu ya maisha yako. Hakuna kiumbe chochote ambacho kina haki hiyo juu ya kiumbe kingine. So; kama maisha yako yameharibiwa get it fixed. Haraka. Inua macho yako, jikung'ute vumbi, okota vilivyoanguka - visivyo haribika sana vikusanye utatengeneza baadaye, vilivyomwagika ndiyo imekula kwako. Take the first step to move from where you fell. Ukipiga hatua ya kwanza utapata na ya pili. Don't worry about tomorrow. Worry about today for tomorrow is only today delayed by 24 hours.
Tatizo sina haja na WENZANGU wote, bali Gaga wewe........lakini ndo ishakula kwangu tena....kwanini lakini?
Posts zako zilizopita kama nne hvWaweza leta ushahidi hapa?
Hebu jichagulie mmoja afu nambie....Babu nigawie mmoja ikikupendeza
Posts zako zilizopita kama nne hv
Hebu jichagulie mmoja afu nambie....
Khaa!Gaga ananifaa kwa sasa,natanguliza shukrani