Umemwona farasi?

SMU umenipoteza mbaya....huyo bibi sijamwona bado
 
Last edited by a moderator:
Reactions: SMU
SMU umenipoteza mbaya....huyo bibi sijamwona bado
Pole mkuu. Huyo bibi ana kidevu kikubwa na pua yake pia ni kubwa...naye amejifunika kilemba cheupe huku akiacha nywele za mbele zikionekana. Kama unamwona huyo msichana, basi sehemu ya kidevu cha huyo msichana ndio ncha ya pua ya bibi (actually karibu upande wa uso mzima wa msichana ndio pua ya bibi), na shingo ya msichana (kwenye huo mkato hivi), ndio mdomo wa bibi! Halafu sikio la msichana ndio jicho la kushoto la bibi. Jaribu halafu niambie kama umeweza kumuona!
 
How many people do u see?

khaa! mdogo wangu wa moyoni hapa nimeona watu 6 mmoja ni kichanga kimebebwa na kandama kamoja, nimemwon farasi na chura pale juu nilipo irotate na pia kibibi na kibinti.
 
How many people do u see?

watu nawaona wako 3,mbabu na mdada kameba mtoto! alafu kuna sura 3za ziada, 1yahuyo mbabu aliotoa hao watu 3, alafu kwenye kila nguzo juu yake kunasura kushoto kuna ya mtoto na kulia kuna ya demu wangu.

naongezea! hapo kushoto juu alipokuwa ndege, hicho kitako chake ni sura ya mtu na kuliakwake pia kuna picha ya msela!
 
khaa! mdogo wangu wa moyoni hapa nimeona watu 6 mmoja ni kichanga kimebebwa na kandama kamoja, nimemwon farasi na chura pale juu nilipo irotate na pia kibibi na kibinti.
My sis mis u much....ila hapo kuna watu 6
 
Imenichukua dk7 kuitambua hii picha, ukitaka kuigundua ipindue upande wa kushoto uwe chini ndio utagundua.
 
Kudadadeki kama ni mtihani hata nikiibia sipati kitu. Yaani hapo sijapata picha kabisa sijui kwa sababu ya hii swaumu.
 
Kudadadeki kama ni mtihani hata nikiibia sipati kitu. Yaani hapo sijapata picha kabisa sijui kwa sababu ya hii swaumu.
ukitaka kumwona bibi funika kuanzia sikio la msichana na pua lake,halafu angalia sehemu iliyobaki chini,ndo utamwona bibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…