Miss u more miss.....unaendeleaje?
Huyu wangu hata nikimbembeleza habembelezeki loh
Kufoka Ndio kubembeleza siku Hizi? Shikamoo basi!
Kufoka Ndio kubembeleza siku Hizi? Shikamoo basi!
Switie...nimekufokea lini?
Makubwaaa???
mmm kulikoni kumuita hubby wangu bila ruhusa yangu..kalala akiamka ntamwambiaHahahaaa! ICHANA Njoo huku Mara moja!
Bas na mie ngoja nimtafute makoyo
Switie...nimekufokea lini?
best na wewe chepuka kimya kimya unajua fika mumeo anakufutila kama tanzanite
anakupenda na ana wivu mbaya anaweza kujinyonga kwa maneno
mpe mahaba yampumbaze
ICHANA my dia ndo umeamua kunisuta hadharaniii...kwa kipi mkuu huyu bint hatuliii kwenye gegedo la mumewe na anafanya waziiiii mambo yake
atamuua kwa presha hyu kijana