Itakuwa huna hela.... Kuna jamaa naye nilimshangaa ghafla akawa anapenda dagaa sanaaa na anawala kila siku, lakini cha ajabu huwa anayafanya hayo toka tarehe 10 hadi 24 ya kila mwezi.I salute all MMU members!!
Hope u r all fine, pia poleni na uchovu na kero mlizozipata kutokana na ziara za Obama, kwa wale wakazi wa Dar.
Sasa nisiswachoshe sana mie bana nimehamia morocco near AAR Hospital (kwa sababu za kiintelijinsia) sasa tangu nihamie hapa niliamua kuanzisha kazoezi ka kutembea kwa miguu from posta hadi home nikiwa na lengo la kufanya zoezi wakati huohuo naenda home bila kukwazwa na foleni. Tangu nianze nimepata wenzangu wawili tunatembea wote ni raha sana na unakuwa fresh, if u feel like karibu ujiunge. Nilianza hii baada ya siku kama mbili kibajaji kilikuwa juu ya mawe na daladala zilikuwa za shida nikawaza kwa nini nisitembee nilipojaribu na nikaona naweza basi imekuwa ndo mtindo wangu monday to friday japo siku nyingine huwa nadoji looh.
Karibuni sana if u like usipopenda we pitiliza tuu si lazima.
Ever remaining,
Sakapal
I salute all MMU members!!

Itakuwa huna hela.... Kuna jamaa naye nilimshangaa ghafla akawa anapenda dagaa sanaaa na anawala kila siku, lakini cha ajabu huwa anayafanya hayo toka tarehe 10 hadi 24 ya kila mwezi.
Na kweli, maana kuna wengine wanakuwaga kama vile wameweka barafu kwapani linaloyeyuka kadiri joto linavyopandahuko unakoenda si shati/top linakuwa limelowa makwapani sana!!!!!
I salute all MMU members!!
Hope u r all fine, pia poleni na uchovu na kero mlizozipata kutokana na ziara za Obama, kwa wale wakazi wa Dar.
Sasa nisiswachoshe sana mie bana nimehamia morocco near AAR Hospital (kwa sababu za kiintelijinsia) sasa tangu nihamie hapa niliamua kuanzisha kazoezi ka kutembea kwa miguu from posta hadi home nikiwa na lengo la kufanya zoezi wakati huohuo naenda home bila kukwazwa na foleni. Tangu nianze nimepata wenzangu wawili tunatembea wote ni raha sana na unakuwa fresh, if u feel like karibu ujiunge. Nilianza hii baada ya siku kama mbili kibajaji kilikuwa juu ya mawe na daladala zilikuwa za shida nikawaza kwa nini nisitembee nilipojaribu na nikaona naweza basi imekuwa ndo mtindo wangu monday to friday japo siku nyingine huwa nadoji looh.
Karibuni sana if u like usipopenda we pitiliza tuu si lazima.
Ever remaining,
Sakapal
Hali ya hewa hivi sasa inaruhusu sakapal lakini ikifika kile kipindi cha joto, kiukweli utakuwa unaingia ofisini unanuka kikwapa! Vinginevyo ni mkakati mzuri wa kujiweka fresh kiafya! Hongera
Kuna maisha mengine watu wanayoishi ni mazoezi tosha... YAANI YEYE KILA SIKU ANAFANYA MAZOEZI, INGAWA SI NIA YAKE....Asanteee, ndicho ulichowaza siwezi kubadili mawazo yako.
Unatafuta kufa, anza pugu hadi Gongolamboto kabla ya kuanza na huko mbali..!!! By the way, hivi unajuwa kwa nini sakapal anatembea kwa miguu..?? Maana usije ukamuiga tembo kuny.a ule mkimba mkubwa, utachanika msamba bureee...Na mimi ngoja nianze kutembea kuanzia PUGU mpaka POSTA.!!
Muda ninaotembea ni jioni na si asubuhi, natembea nikiwa narudi home. Ukifatilia asubuhi hutaniona.
Unatafuta kufa, anza pugu hadi Gongolamboto kabla ya kuanza na huko mbali..!!! By the way, hivi unajuwa kwa nini sakapal anatembea kwa miguu..?? Maana usije ukamuiga tembo kuny.a ule mkimba mkubwa, utachanika msamba bureee...
Na kweli, maana kuna wengine wanakuwaga kama vile wameweka barafu kwapani linaloyeyuka kadiri joto linavyopanda
Hahahaaaa.... Wacha tuu nichanike msamba..! Hapa nimeshaanza safari nikifika Posta nitakujulisha..!!
Na mimi ngoja nianze kutembea kuanzia PUGU mpaka POSTA.!!