Ducolax Member Joined Aug 6, 2012 Posts 25 Reaction score 9 Sep 11, 2012 #21 C6, wewe ndo mrithi wa bi nyau wa Makanya? nimeonyeshwa na wewe. Sipendi nyau.
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Sep 12, 2012 Thread starter #22 Ducolax hahahaha hapana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jamiif JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 2,413 Reaction score 995 Sep 13, 2012 #23 inaumiza macho kusaka huyo paka!!!lol.... C6 said: Click to expand...
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Sep 13, 2012 #24 Beach za wenzetu kero tupu! Huku kwetu nafasi ya kumwaga, wakati huko kwao hata kutandika mkeka haiwezekani. Kwetu mchanga mweupe na minazi kwa umbali wakati kwao ni tope! Kweli TZ tumebarikiwa.
Beach za wenzetu kero tupu! Huku kwetu nafasi ya kumwaga, wakati huko kwao hata kutandika mkeka haiwezekani. Kwetu mchanga mweupe na minazi kwa umbali wakati kwao ni tope! Kweli TZ tumebarikiwa.