umemiss nini katika maisha ya chuoni?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,938
2,000
internet ya bure 24x7 hadi chumbani lakini saa hizi MB50 za voda zinataka kukata sijui kama hii thread ntapost
siku nikichoka au nikiamka na ma hangover sizami class lakini huku chezeya bosi uone
maji bure umeme bure (ukicompare na bei ya hostel) lakini huku ishu lazima uorganize kupata maji, luku misosi dah!
nilikuwa peke yangu wakujicare lakini sasa nimeingia kwenye system ndugu nao wameanza kuniangalia!
chuo hakuna jungu kila mtu na lake lakini job lazima mshirikiane na hapo mifarakano haiepukiki
ngoja nisikilize these are the days of our lives-queen pengine utanifariji.
 
MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,348
2,000
Yaani acha tu mwenzako nina kimeo job hadi nimekichukulia 3 days holiday ili nikirudi nipambane nacho kibishi
 
Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
0
Nimemis sana:
  1. kudhula usiku wa manane baada ya kuchoka kulala.
  2. kukaa mitaa ya IFM au CBE na Ustawi wa jamii kwenda kutega vidosho vya ukweee....
  3. kufuliwa sijawai kufua Nikiwa chuoni.
  4. kulala wengi wengi kwenye chumba kimoja.
  5. kuibiwa, kuvuta bangi ndani ya hostel hilii tulikua twafanya makusudi ili watunyang'anye chumba na kupiga mtungooo.
Sasa ivi hamna izi vitu nime vi misso kweli mwakani naludi tena kuongeza elimu.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,734
2,000
Heri yenu mliosoma...kuja mjini kumenifanya niache shamba langu likidhulumiwa na wanakijiji wenzangu...
 
Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,820
2,000
internet ya bure 24x7 hadi chumbani lakini saa hizi MB50 za voda zinataka kukata sijui kama hii thread ntapost
siku nikichoka au nikiamka na ma hangover sizami class lakini huku chezeya bosi uone
maji bure umeme bure (ukicompare na bei ya hostel) lakini huku ishu lazima uorganize kupata maji, luku misosi dah!
nilikuwa peke yangu wakujicare lakini sasa nimeingia kwenye system ndugu nao wameanza kuniangalia!
chuo hakuna jungu kila mtu na lake lakini job lazima mshirikiane na hapo mifarakano haiepukiki
ngoja nisikilize these are the days of our lives-queen pengine utanifariji.

nimemisi:
WAKATA KIU................STUDIO STUDIO..................
NIMELIPA TUITION FEES, MADARASA YA TUITION YAKO WAPI?
KUSOMA KUELEWA, KUKESHA MBWEMBWE,
FELLOWSHIP ZA KILA SIKU JIONI NA MAOMBI YA SAA SITA USIKU NA VALLEY.....
NIMEMISI KONTENA MPYA......
TETETETETE.................
VIPO VINGI ACHA KABISA!
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,400
2,000
Nimemmesi gelofrendi wangu aliyekuwa mke wa mchungaji huko alikotoka,ile tunamaliza chuo tu alibadili contact zake zote na ndio ikawa mwisho wetu kuonana na kuwasiliana......
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,433
2,000
Nimemiss penzi la head mistress,nilikuwa sishuki kwenye nzigo bila kipenga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom