Umeme waweza kukatika Ikulu?

CHIMPANZEE

Member
Mar 30, 2011
98
10
Jamani wapendwa naomba mnisaidie, hivo ni kweli mgao wa umeme uko sawa kwa sawa?
Mbona nimesikia kwamba haijawahi kutokea umeme ukakatwa Ikulu ya Rais na ya Waziri Mkuu? Kama na wao wangekatiwa umeme kama sisi tunavyofanyiwa kila siku naamini kwamba wangeweza kulishughulikia swala la umeme. Lakini kwasababu hawaoni taabu tunazopata wanashughulika kwa mwendo wa kionyonga.

Kwanza kwanini wamsimamishe katibu wa wizara wakati yeye anafanya kazi chini yake?
 
Nani kasema umeme ukatike kwa Rais wa nchi! Hata kwa wakuu wa Taasisi umeme haukatiki, sembuse Rais!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom