PakaJimmy, Vitu vingi vimepanda bei, nahisi ni matokeo ya matumizi makubwa ya wakati wa uchaguzi, sasa tunavuna matokeo yake. ni kwa sababu tu hii bidhaa huhitaji baraka za EWURA ndiyo maana imechelewa kupanda otherwise ingeenda pamoja na vitu vingine vya msingi. Tuvumilie maana tukilipa na ile 185 bil. yawekekana tukatangaza ile miezi 18 ya kujifunga mkanda ambayo haikuisha ( wakati wa vita vya Amin)Wanajamvi,
Magazeti mengi ya leo yameandika juu ya hali hii ya kutisha ya kupanda kwa bei ya UMEME kwa asilimia 18.5 ya bei ya sasa...Zoezi hili linaanza mapema Januari 2011, na lina baraka zote toka EWURA.
Hali hii inakuja wakati kuna shida kubwa ya mgao, na tena usio na taarifa wala apology.
Wanajamvi, huu ndiyo mwisho wetu wa fikra juu ya kubuni namna mbadala za uzalishaji?...mateso haya yataendelea hata lini?...Labdsa kuna wanajamvi wengine wana altenatives za kusaidia kuepusha taifa hili na janga la unreliability ya uwepo na bei za umeme, atusaidie.
wewe utakuwa mmoja wao, maandiko yako yanafanana nao kabisa....nani kakuambia haya ndio maisha?Ndiyo maisha hayo!!
i thinks soPakaJimmy, Vitu vingi vimepanda bei, nahisi ni matokeo ya matumizi makubwa ya wakati wa uchaguzi, sasa tunavuna matokeo yake. ni kwa sababu tu hii bidhaa huhitaji baraka za EWURA ndiyo maana imechelewa kupanda otherwise ingeenda pamoja na vitu vingine vya msingi. Tuvumilie maana tukilipa na ile 185 bil. yawekekana tukatangaza ile miezi 18 ya kujifunga mkanda ambayo haikuisha ( wakati wa vita vya Amin)
Ni muda muafaka wa kusema No No No No! No more, we are tired of this situation. Sote tunajua jinsi gani umeme/nishati ya umeme ilivyoya mhimu katika maendeleo ya nchi.
Lakini viongozi wetu wasivyokuwa na mpango maalumu wanatupiga siasa kwenye inshu nyeti kama hizi tena miaka nenda rudi.
Kuna sector ambazo hatuhitaji maamuzi ya kisiasa, lakini kwetu ndo kwanza tunatafutiwa umaarufu. Hizi sector zinatakiwa kuwa dira/Maazimio/malengo ya taifa ambayo kila raisi atakayechukua nchi lazima ahakikishe zinapiga hatua siyo kuziua.
Kwenye hizi sector wanasiasa hawatakiwi kuwa na kiburi, its the matter of giving them the facts wasipokubali mnawaweka hazarani tena bila kumumunya. Bila hivyo, tunawapa nguvu bila kujua kuwa kuwanyang'anya ni gharama kubwa.
Siyo tu nishati ya umeme, bali hata maji utaona jinsi gani watu walivyojiaminisha shida zote hizi ni sehemu ya maisha yao.
Mimi naona tuanze kuandaa mabango ili tarehe ya kuanza kutuuzia bei mpya, ndo mwongozo uanzie hapo. nawasilisha
Loner,Tukisema kwamba tuanze kuandamana juu ya matatizo ya hapa nchini basi kila siku tutakua hatufanyi kazi bali tunaandamana... Solution ni kupata campuni mbadala ya umeme, tukipata competition kidogo TANESCO watakua na heshima debe kama TTCL...
Halafu watu wasahau yote haya ndani ya miaka 5 tu, na kurudia makosa.Tulishawachagua fanyeni mnavyotaka, hii nchi ni yenu wenyewe.
Bati moja gauge 30 futi 10 ni Tshs 15,000/
Bati Moja gauge 30 futi 6 ni Tshs 12,000/-
Bei ya mfuko wa sementi ni Tshs 12,500/-
Bei ya Petrol kwa lita Tshs 1,800/- (Nauli juu, bei ya bidhaa hasa chakula juu as a result)
Mchele kilo Tshs 1,250/-
Sasa tunaambiwa na Umeme bei juu
Kuna maisha kweli Tanzania hii? hapo sijaweka huduma duni za afya na elimu.
Maumivu matupu.
Bahati nzuri wafuasi wa sisiemu ni watu makini sana , sababu watakazopewa na viongozi wataridhika na kuendelea na maisha kama kawaida.Halafu watu wasahau yote haya ndani ya miaka 5 tu, na kurudia makosa.
Mbaya zaidi, those who were the serious supporters of the ccm regime are the ones who are HIT-HARD by the inflations currently in action.
Wanajamvi,
Magazeti mengi ya leo yameandika juu ya hali hii ya kutisha ya kupanda kwa bei ya UMEME kwa asilimia 18.5 ya bei ya sasa...Zoezi hili linaanza mapema Januari 2011, na lina baraka zote toka EWURA.
Hali hii inakuja wakati kuna shida kubwa ya mgao, na tena usio na taarifa wala apology.
Wanajamvi, huu ndiyo mwisho wetu wa fikra juu ya kubuni namna mbadala za uzalishaji?...mateso haya yataendelea hata lini?...Labdsa kuna wanajamvi wengine wana altenatives za kusaidia kuepusha taifa hili na janga la unreliability ya uwepo na bei za umeme, atusaidie.