Umeme wakatika tena sehemu kubwa ya nchi?

Ebu nenda hapo kivukoni kwenye geti la ikulu chungulia ndani kama ikulu
kuna umeme ffu wakikuuliza waambia ngamia mzee kakutuma chukua boda boda
shap basi, tupe taarifa,

kikupacho raha na uchungu kitakupa
 
Kumbe tuna umeme wa kutosha.

Umeme ni mkubwa siyo mwingi.
Ukihitaji gari tano kwa mfano kwa ajili ya kufanya biashara ya taxi unaweza kuchukua scania moja kama mbadala wa taxi tano?
 
Mbona nimesikia kwamba mgao rasmi wa Umeme unaanza August 2011 kuna ukweli wowote?? mwenye news atujuze kwani nihisi kama tetesi hizi???
 
Mbona nimesikia kwamba mgao rasmi wa Umeme unaanza August 2011 kuna ukweli wowote?? mwenye news atujuze kwani nihisi kama tetesi hizi???

Yawezekana haya ni maandalizi ya mgawo. Kila kitu shurti kiwe na maandalizi ati.
 
Mbona nimesikia kwamba mgao rasmi wa Umeme unaanza August 2011 kuna ukweli wowote?? mwenye news atujuze kwani nihisi kama tetesi hizi???

Yaani mimi nishakua sugu na kukosekana kwa umeme. Nimeshajifunza kufurahia maisha bila umeme. Kwa ufupi huwa sishituki kabisa, wakitaka wafanye mgao huu uwe wa kudumu milele yote poa tu.
 
chanzo ni mkuu wan nchi.....yaani yule tukifanikiwa tutakuwa na ahueni sana
 
ngeleja.JPG
 
hata mimi nilitaka kuuliza asante kwa kunisaidia, niko bar moshi natoa loku one for the road on the way to AR na umeme upo ivi tanzania ziko ngapi...?

Ina maana sipo Tanzania au?
mbona hapa nilipo kuna umeme?
afu ni saa 17hrs hakuna giza wala nini!
kuchomoka grid ndo nini?
 
Umeme ni mkubwa siyo mwingi. Ukihitaji gari tano kwa mfano kwa ajili ya kufanya biashara ya taxi unaweza kuchukua scania moja kama mbadala wa taxi tano?
Lost in the translation!Kutafautisha kati ya VOLTAGE na POWER in kiswahili kazi kweli.
 
Washenzi jana wameturudishia umeme saa saba usiku, wakaukata saa sita mchana. Yaani wiki nzima sijarudi nyumbani toka work nikakuta umeme hadi naanza kujiuliza kama umeme wa Tanesco ndo tuufanye uwe back up alaf jenereta ndo liwe linatuzalishia umeme wa matumizi ya kawaida.

I HATE TANESCO.
 
Lost in the translation!Kutafautisha kati ya VOLTAGE na POWER in kiswahili kazi kweli.

Sidhani kama kuna kiswahili sanifu kwa maneno hayo. Labda tusubiri wasomi wa chuo kikuu wakae kikao ili watutungie maneno yatakayofaa kwa tafsiri hizo, kama walivofanya kwa maneno kama mchakato na mengineyo.
 
Back
Top Bottom