mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Kodi ya nyumba tangu kuanzishwa haujawahi kulipaLUKU
Naficha namba ya mita
9004221261420127223
8.4KWH
4666 9891 1969 5567 3394
Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
Debt Collected 11,000.00
TOTAL 14,000.00
Kwamba anzia mwezi wa 7 mwaka jana hajawah nunua umeme!Kodi ya nyumba tangu kuanzishwa haujawahi kulipa
Mara yako ya mwisho kununua umeme kwa mita namba hiyo ilikuwa ni lini?LUKU
Naficha namba ya mita
9004221261420127223
8.4KWH
4666 9891 1969 5567 3394
Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
Debt Collected 11,000.00
TOTAL 14,000.00
mkuu wapi mleta mada kasema tozo zimewekwa na January au TANESCO? ameuliza kunani?Ni upunguani mkubwa wa akili kuamini kuwa tozo zimewekwa na Makamba au TANESCO.Maradhi makubwa kwenye nchi hii ni ujinga.
Kwenye heading kaandika TANESCOmkuu wapi mleta mada kasema tozo zimewekwa na January au TANESCO? ameuliza kunani?
Mara yako ya mwisho kununua umeme kwa mita namba hiyo ilikuwa ni lini?
Hajaibiwa si unaona debt collected inabidi atusaidie kujua mara ya mwisho kununua umeme ni liniUzi umejaa mashabiki maandazi. Mkuu umeibiwa hapo
Kodi ya nyumba tangu kuanzishwa haujawahi kulipa
Mwaisa! Kweli wamekupiga Mwaisa.Aprili 5
LUKU
9004220951107253635
39.3KWH
2524 3605 8454 0669 1781
Cost 11,475.41
VAT 18% 2,065.57
EWURA 1% 114.75
REA 3% 344.27
TOTAL 14,000.00