Umeme wa Tsh 14,000 nikapewa 8.4kwh, nikakatwa 11000tsh. Kunani TANESCO?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,200
1,747
Umeme wa Tsh 14,000 nikapewa 8.4kwh, nikakatwa 11000tsh. Kunani TANESCO?

LUKU
Naficha namba ya mita
9004221261420127223
8.4KWH

4666 9891 1969 5567 3394

Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
Debt Collected 11,000.00
TOTAL 14,000.00
 
LUKU
Naficha namba ya mita
9004221261420127223
8.4KWH

4666 9891 1969 5567 3394

Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
Debt Collected 11,000.00
TOTAL 14,000.00
Mara yako ya mwisho kununua umeme kwa mita namba hiyo ilikuwa ni lini?
 
Mara yako ya mwisho kununua umeme kwa mita namba hiyo ilikuwa ni lini?

Ndio hii mara ya mwisho, mpaka sasa sijaweka maana huwa naweka na walianza kukata kiasi kidogo.


Mfano

Nikiweka 15000 kwenye simcard ya halotel zamani nilikuwa nanunua bila wa elfu 15k bila kukatwa baadae ikabadilika ikawa inagoma maana naweka 15k haikubali kununua wa 15k bali napunguza nanunua wa 14k ndo inakubali kuna kiasi kinakatwa sema huwa Sikai na sms ningeangalia, lakini tangu wameanza kukata hicho kiasi nafikiri si chini ya 400 kama nakosea nitarekebishwa, ila sasa hivi ya ndo kali.


Maana nimezoea kununua Message ikija nascroll tu kwenye unit siangalii naweka namba za Luku kisha naendelea na mambo yangu kilichonifanya nishituke ni jana umeme umekata saa4 mpaka muda huu nimeandika thread hakuna umeme kwenda kucheki kwa upande wa nyumba ya pili ambako kuna umeme Enh nimekuta hakuna kitu kwenye mita yangu yaani ni bila bila.


Si ndo akili ikaingia nicheki kwenye sms ya GEPG ndo nakumbana na janga hilo kwamba nimepewa unit za 3000 badala 14000
 
Kodi ya nyumba tangu kuanzishwa haujawahi kulipa

Saaa kama ni kodi ya nyumba wanakataje direct bila taarifa na hakuna receipt vipi nikienda kulipa next year nitatoa wapi ushaidi maana sina hiyo receipt ya malipo ya kodi ya nyumba waliyokata?

Nipe ufafanuzi hapo Mkuu
 
Kabla ya kununua huu umeme ulinunua lini tena mara ya mwisho

Aprili 5

LUKU

9004220951107253635
39.3KWH

2524 3605 8454 0669 1781

Cost 11,475.41
VAT 18% 2,065.57
EWURA 1% 114.75
REA 3% 344.27
TOTAL 14,000.00
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom