Umeme wa TANESCO

Umeme wa TANESCO

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kwa anaefahamu naomba anijuze taratibu za kufuata ili niunganishiwe umeme wa Tanesco ktk nyumba yangu.
1.Jinsi ya kuanza
2.gharama
3.muda mpaka niunganishiwe.
 
kwanza uwe na picha ambayo ni pasipoti size moja,halafu unalipia kadi/fomu bei yake ni 59OO/-,unamtafuta contractor akuchoree then akugongee muhuri lakini hapa hakikisha kuwa tanesco awe amesajiliwa,baada ya kuchora utarudisha kadi lao then watakupangia siku ya kwenda kumchukua survey aje kukupimia,Na survey ndie atakayekuandikia gharama za kulipa,Kwa servise line ambayo haina nguzo gharama yake ni Sh 32O96O/-,nguzo 1 moja ni 51596O,muda wa kuunganishiwa tanesco ni ndani ya siku 9O tangu ulipolipia,lakn hapo lazima ucheze na staff ndo utajengewa fasta
 
Pamoja na maelezo mazuri ya mazina hapo juu lazima uandae na 'cha ndimu' ili surveyor aje pia kujengewa lazima 'cha ndimu' kiendelee ili kuchangamsha mchakato, vinginevyo utasubiri sana, hiyo ndo tanesco yetu.
 
Ok,nimewaelewa vyema ahsanteni
 
Hizo siku 90 utata. Mi nimelipia tarehe 5.7.2013 na nimepata umeme jana tarehe 14.3.2014. Miezi 8!!!
 
Una bahati. Huku Arusha kuna waliolipia march 2013 hawajapewa hadi leo.
 
Hao ndio TANESCO,kufanya nao biashara lazima akiri yako iwe kama ya mwendawazimu!!!!:mimba::mimba:
 
Back
Top Bottom