Umeme wa nguzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wa nguzo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makene, Jun 29, 2011.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mbunge anaposhangilia kuwekwa nyaya na nguzo, ati kwamba umeme utawaka, ilhari waliokwishalipa umeme kupitia mashine za luku kabla ya huduma wanalia na mgao usiokwisha.
  Mbunge huyo anasifia kweli serikari.
  Hii nayo ni kasheshe ya kitaifa.
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Anajaribu kulipa fadhila kwa waliombeba hadi kuwa mbunge.
  Kama si hivyo basi akili yake ina mushkeli kidogo
   
 3. e

  ebrah JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmh! ana ugonjwa huyu mtu! lakini sishangai, wanajittahidi kutimiza ahadi walizoahidi miaka kumi iliyopita wakati umeme ulikuwa unatosha TZ nzima!
   
Loading...