obhwita bhwandebha
Member
- May 16, 2020
- 41
- 59
Wapendwa kuna mtu mmoja nilimuona kwenye YouTube ni fundi wa kutengeneza umeme wa majumbani kwa kutumia sumaku anaitwa Msuya yuko Dar maeneo ya kawe kulingana na alivyojitambulisha.
Naomba mwenye namba yake ya simu tafadhali anitumie au walioko karibu nae naomba wanisaidie kumtafuta wamuombe namba wanitumie.
Tafadhali naombeni sana.
Naomba mwenye namba yake ya simu tafadhali anitumie au walioko karibu nae naomba wanisaidie kumtafuta wamuombe namba wanitumie.
Tafadhali naombeni sana.
,, Iko hivii yule jamaa ametengeneza primary mover (engine) ,, wewe unaonglea electromagnetic induction ya bwana Faraday,,