juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Waungwana habari? Jamani hakuna asiejua ya kwamba hapa Tz kuna gesi ambayo inaweza kutusaidi kupunguza makali ya gharama za umeme,ila cha kushangaza hadi leo ni kimya.nakumbuka tangu mwaka jana danadana zilianza wakasema hadi July umeme utakuwa tayari,mara ikapita hakuna cha gesi,wakasema mwezi November lakini nayo ikapita hakuna vha nini wala nini,wakasema January mara nayo inaishia ukingoni hakuna kitu,tena ndio wamenyamaza kabisaaaaaa,sasa najiuliza hivi huu umeme wa gesi umeishia wapi? Au ilkuwa ni danganya toto tu?tanzania ina maajabu mengi sana