S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,956 Reaction score 4,899 Jul 30, 2011 #1 Kukosa kazi kubaya sana. Grid ya Taifa imeamua kucheza ruka kamba, Umeme wa uhakika TZ mpaka mwisho wa dunia!Hapa ni karibu na Songas Ubungo Kama gesi ipo na umeme tunakosa bora na mafuta yasipatikane maana hayatasaidia kitu zaidi ya kufaidisha mijizi michache huku shida zikiendela
Kukosa kazi kubaya sana. Grid ya Taifa imeamua kucheza ruka kamba, Umeme wa uhakika TZ mpaka mwisho wa dunia!Hapa ni karibu na Songas Ubungo Kama gesi ipo na umeme tunakosa bora na mafuta yasipatikane maana hayatasaidia kitu zaidi ya kufaidisha mijizi michache huku shida zikiendela
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Jul 30, 2011 #2 duuuuuuuuuuuuuu............
gwambala Member Joined Mar 10, 2010 Posts 60 Reaction score 2 Jul 31, 2011 #3 ha ha ha ah hiii kweli kabisa!
wende JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 714 Reaction score 67 Jul 31, 2011 #4 aise hiyo ni kali kwelikweli...kwa hali hiyo giza ni mpaka milele!
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,976 Reaction score 2,175 Jul 31, 2011 #5 Mbona hii kitu ya pylons na waya kuruka viunzi ilisha kuwa presented na kaka M.M. Mwanakijiji long ago!!!!! Somi jitahidi ujaribu kupitia thread za huko kabla utaiona.
Mbona hii kitu ya pylons na waya kuruka viunzi ilisha kuwa presented na kaka M.M. Mwanakijiji long ago!!!!! Somi jitahidi ujaribu kupitia thread za huko kabla utaiona.