Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Mikoa mingi iliathirika, gridi ya Taifa!
Bukoba upo
Butiama ilikuwa giza pia.Musoma gizaaa
No!Huko ulipo kuna umeme?!
Na bwawa la Kidatu na Kihansi yapo karibu nanyiMahenge/Ulanga giza kama kawaida...
Tukitegemea umeme wa gas na mafuta tegemea hilo kutokea lakini umeme wa maji hatutoathirika na hizo import factors.Yaani na umeme umeathiriwa na vita Ukraine aisee...