Halafu huu ni uzembe, kila mkoa ungekuwa na backup source yake.......... mfano kituo mama kikapigwa bomu iwe na uwezo wa kusaplai hata masaa matatu hadi nane kwa siku na hizi imejensi ndogondogo unakava - Self sufficiency
Hata hivyo nitoe pongezi, maana kama umekatika tumestuka ina maana sio kawaida ni habari. Hongera sana serikali kwa kutupatia umeme wa uhakika nchi nzima👊💪