Habari wakuu. Naomba kushare mawazo yenu juu ya wazo langu ( UTUNDU ) kuhusiana na umeme mbadala.
( Je, itafanikiwa???? Na pia Nini kitatokea kama nitafanya UTUNDU ufuatao???? )
Nina taa ndogo tu ya Solar ambayo yenyewe ina panel. Taa hii pia inaweza wa kuchaji simu. Panel ya hii taa ndogo, sasa mi nataka niitoe arafu nifunge panel ya Watt 10. Battery iliyo ndani ya hii taa ni ndogo, mi nataka niichomoe arafu zile waya niziunge kwenye battery ya gari. Arafu zile taa nizichomoe arafu waya zake nifunge taa nyingine kubwa kidogo zaidi ya zile zilizopo.
Je, nini kitatokea??? je, itafanikiwa??? Naomba mawazo yako.