Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Daah, kweli nimeamini umeme ndo kila kitu, kwa sababu kwa sasa gharama za maisha zimeongezeka sana hasa kutokana na huu mgao wa umeme. Leo mida ya saa nane mchana nikiwa maeneo ya kinondoni manyanya kwenye mishe mishe, nilipigiwa simu na jamaa flani akaniambia nimpelekee cv yangu pale mwananyamala, kwa kua mi huna na tabia ya kutembea na flash disk, nikaanza kutafuta stationary ili niprint then nimpelekee..imagine nilitafuta sanana na ni kwasababu nyingi zilikosa umeme, nikapata moja inayotumia genereta but nilipouliza bei nilichoka. eti kuanzia page 5 ni sh 1000 per page bt below 5pages ni 1500. ilibidi niprint page zangu 3 thou roho iliniuma sana na kusababisha niitukane na kuilaani sana serikali hii ya awamu ya nne na ngeleja kwa ujumla. inauma sana. nawakilisha.
kwa mtindo huu, kuna kila 7bu ya kuanza tembea na hardcopy.Daah, kweli nimeamini umeme ndo kila kitu, kwa sababu kwa sasa gharama za maisha zimeongezeka sana hasa kutokana na huu mgao wa umeme. Leo mida ya saa nane mchana nikiwa maeneo ya kinondoni manyanya kwenye mishe mishe, nilipigiwa simu na jamaa flani akaniambia nimpelekee cv yangu pale mwananyamala, kwa kua mi huna na tabia ya kutembea na flash disk, nikaanza kutafuta stationary ili niprint then nimpelekee..imagine nilitafuta sanana na ni kwasababu nyingi zilikosa umeme, nikapata moja inayotumia genereta but nilipouliza bei nilichoka. eti kuanzia page 5 ni sh 1000 per page bt below 5pages ni 1500. ilibidi niprint page zangu 3 thou roho iliniuma sana na kusababisha niitukane na kuilaani sana serikali hii ya awamu ya nne na ngeleja kwa ujumla. inauma sana. nawakilisha.
True dat...kwa mtindo huu, kuna kila 7bu ya kuanza tembea na hardcopy.
CCM ina laana kutoka kwa MUNGU leo hii inatufanya twe maskini na kuishi kwenye giza si muda mrefu mgao wa umeme utakuwa wa masaa 24,HONGERENI MLIOICHAGUA CCM NA KUTUFIKISHA HAPA.
Tatizo tumekua watu wa internet sana, labda wengine wana-comment tu kujiongezea idadi.Kama tuna nia ya kweli basi tuanzishe mchakato serious kwa ajili ya maandamano ya kupinga mgao wa umeme usio na kikomoWana JF, Kwa Taaarifa tu nyepesi nyepesi Mwazi wa 8 si mnajua hakutokuwa na umeme kabisa tujiandae kuandamana tuuu basi