Umeme dodoma

Umeme dodoma

mantiz

New Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Tunaomba umeme dodoma..kumekua na tatizo kubwa sana na huu mgao hapa dodoma jamani wahusika tusaidieni...mara mashine imeharibika mara spea wamefuata..tunanyanyasika jamani..tutaendelea lini?????
 
Wakati wa vikao vya Bunge hapo Dodoma hakuna mgao wakati kwenye mikoa mingine mgao kama kawa, sasa onjeni machungu ya mgao!
 
Back
Top Bottom