Umelewa? Hiki ni Kipimo

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Wale wanywaji watakuwa wanaelewa unapomwangalia mtu na kumwona hivi ina maana gani

 
Hata sasa hv nikiangalia hio picha naona mbilimbili km vile nimelewa.....nahisi hio picha yenyewe ni kilevi tosha!!!
 
Ukiona unamuona mtu namna hiyo wahi condom haraka, manake muda mfupi ujao utasahau kuwa UKIMWI bado haujapata tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…