Bingwaman JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 548 Reaction score 288 Mar 5, 2013 #1 Wale wanywaji watakuwa wanaelewa unapomwangalia mtu na kumwona hivi ina maana gani
UNDENIABLE JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 2,326 Reaction score 1,316 Mar 5, 2013 #2 Hata sasa hv nikiangalia hio picha naona mbilimbili km vile nimelewa.....nahisi hio picha yenyewe ni kilevi tosha!!!
Hata sasa hv nikiangalia hio picha naona mbilimbili km vile nimelewa.....nahisi hio picha yenyewe ni kilevi tosha!!!
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Mar 5, 2013 #3 picha ndio imelewa
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Mar 5, 2013 #4 Ukiona unamuona mtu namna hiyo wahi condom haraka, manake muda mfupi ujao utasahau kuwa UKIMWI bado haujapata tiba
Ukiona unamuona mtu namna hiyo wahi condom haraka, manake muda mfupi ujao utasahau kuwa UKIMWI bado haujapata tiba