Jamani hii biashara ya mikokoteni barabarani inakera sana
Kunasiku nilikwanguliwa gari yangu mpya na mkokoteni, na ilikuwa kwa makusudi mazima. huyo mwenye mkokoteni hata kukulipa hawezi. nikaishia kuingia mfukoni kwangu
Jana mkokoteni umesababisha foleni ndefu bila mpango umebeba mambao kibao ambayo ni hatari kwa usalama
Hivi serikali haina mpango wowote wa kuhakikisha inatenga njia kwa ajili ya hii mikokoteni?
Vinginevyo ni kero sana.
Hao nao wanalipa road licence na insurance cover?
Kwa kweli ni kero na wanalazimisha kupita sehemu finyu hadi wanaharibu gari za watu makusudi na waneandika mikokoteni yao maneno ya uchovu ochovu hadi unawaogopaHawalipii kodi hao, ni kero sana barabarani.
kwa kweli ni kero na wanalazimisha kupita sehemu finyu hadi wanaharibu gari za watu makusudi na waneandika mikokoteni yao maneno ya uchovu ochovu hadi unawaogopa
Masikini akipata bwana, ****** hulia mbwata! Leo hii msukuma mkokoteni ameshakuwa kero wakati anatoa msaada mkubwa sana kwa wanyonge wenzake!
Sidhani kama ni kuwakashfu bali ni kero kubwa wanapaswa kuwepo kwa maisha yao na ajira zao lakini serikali iliangalie hili kwa kifupi wanakera kwani wanmakusudi sana
aisee wale jamaa ni wabishi na ubishi wao wa kijinga sana.. mi washantia hasara mara mbili
sijui tuwafanyaje hawa watu
Hawa jamaa waliruhusiwa na Aliyekuwa rais wa awamu ya kwanza kipindi kile cha mafuta ya mgao! Ila wote tuwe na heshima barabarani ajali tutazisikia. Ila kama uko na haraka zako, kila siku utawakwangua.