Umekula tunda gani leo?

Chief Mshana Jr
Haya matunda ya kisasa,yanayokuzwa na Madawa(Chemical)...Je!hayana madhara?!
 
Kuna mhindi atakuja kusema amekula pilipili
 
Na mimi nakazia hapo hapo tatizo kuna matunda mengine yapo miilini mwa watu aiseee[emoji1751] nimeyakoroga hivi kumbe nipo nje ya mada Sorry Mshana Jr [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Eeh Mungu baba wasamehe bure waja wako....tunaziishi nyakati[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Ill lisikupe shida ya meno,liwekee chumvi kiasi
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sasa hapo utakuwa unatengeneza madini joto badala ya vitamini C
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sasa hapo utakuwa unatengeneza madini joto badala ya vitamini C
Please jaribu iko poa sana..ukishamenya nanasi liloweke kwenye chombo chenye maji yenye chumvi kiasi kama dakika 5,10 kisha kula
 
Hahahaha mim nakula sana mkuu.hasa asubuhi. Nadhan co mbaya
Nilikua nahofia uko ndani ya mwili reaction yake itakuaje! Maana mwili wenyewe ukizidisha shida!ukipunguza pia shida dah. Ila najiskia poa na lunch nahisi sitokula bado nimeshiba shiba aisee😀
 
Unamaanisha niweke chumvi kwenye nanasi? Ama nisukutue kwenye meno doctor ? Unaleta mambo ya kilingeni hata kwa vitu vya hospital mkuu[emoji3][emoji3]
Hapana my dear ukishalimenya na kulikatakata nanasi lako vile vipande vitie kwenye chombo chenye maji kiasi na chumvi kiasi ...acha kwa dakika kadhaa kisha anza kula , ukichukua toka chomboni..the flavor is amazing
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…